EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
Me ni Me ndio naona hili jina linaniletea kamzozo.Samahani Kwa kuingilia maongezi ya mwanakondoo ameshinda!tuamfuate!...wewe ni me ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me ni Me ndio naona hili jina linaniletea kamzozo.Samahani Kwa kuingilia maongezi ya mwanakondoo ameshinda!tuamfuate!...wewe ni me ?
Yes naelew vizuri hilo. Maisha ya kidada na wadada wenzie haipaswi kuyagusa hata kidogo labda awe na watu wa ajabu ajabu. But kwa watu mfano wako wala mtu hapaswi kufatilia na kujua chochoteDah,kama unaelewa Hilo nyie mtaishi sana watu wangu wa nguvu[emoji3590]
Hamna kitu,amekasirika tu....hakuna kibaya kati yao
Hebu tulia na wewe!Mwenyewe kanishangaza kuniquote vile na sijawahi kumtaka khaaaaa!!!
Aje arekebishe sentence yake au atapike anayotaka kutapika tusikoseane heshima
Muagize mtu akuchukulie ama nenda mwenyewe.Nakihitaji sana nataka nimchukulie mzee wangu mmoja kama zawadi.Ntamuagiza mtu.Shukrani sana.
Unauza CD[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Barikiwa sana shemeji yangu ,boss wangu kabisa!Yes naelew vizuri hilo. Maisha ya kidada na wadada wenzie haipaswi kuyagusa hata kidogo labda awe na watu wa ajabu ajabu. But kwa watu mfano wako wala mtu hapaswi kufatilia na kujua chochote
Amekosea alichoandika au hakumaanjsha alichoandika.Hebu tulia na wewe!
Bora kama unamjua vyema.Yes naamini hayupo kabisa hivyo huwa ni mpole na mstaarabu, hanaga maneno mengi
But ameandika ambiguous statement, ila i hope amemlenga huyo mwingine
Hivi hamna screenshot zozote za Mama mchungaji HS ?
Kuhusu ile stori yake kwamba jamaa mwenyewe ndio alikuwa anavumisha habari ..
Kama mnazo,chonde tusaidieni.
Nimependa mbinu zako za kutaka Kitenge😁😁😁😁Me ni Me ndio naona hili jina linaniletea kamzozo.
Mkuu sorry sio yeye tafadhali😂😂Mna siri gani? Maana pia kasema hapo huwa hali mataputapu, mtalia sana ishia hapo.
Umemfanya nn tena?
Barikiwa sana mtumishi.Ntajitahidi nimchukulie vyote viwili ili wazee wenzake wakija kumtembelea wanavikuta.Muagize mtu akuchukulie ama nenda mwenyewe.
Vipo aina mbili,,
Kuna kimoja cheupe tayari nembo ile inaonekana, upande mwingine Kuna maandishi bible verse
Kuna kingine ni cheusi hakionyeshi kitu hadi uweke chai.
Ukishaweka chai sasa ndio kinabadilika na kuleta Ile nembo ya mwanakondoo.
Upande wake wa pili una jengo la kanisa.
Ila vyote viwili unyama ni mwingi
Japo Mimi nakipenda zaidi kile cha pili.. especially kinavyobadilika..yaani naenjoy.
Na kwa surprise hiki sasa ndo chenyewe.
😀😀😀😀 Kitenge tena? .Hapanaa.Nimependa mbinu zako za kutaka Kitenge😁😁😁😁
Usijali broMkuu sorry sio yeye tafadhali[emoji23][emoji23]
Joh anajua kila kituPole kwa mshtuko 😂😂😂😂
Hebu tulia na wewe!
Heaven Sent [emoji23]HS maana yake nn?