Nikifunua kinywa changu mtalia bure.
Sipendi kulazimishwa mimi najitambua huwa sili mataputapu..ishia hapa
Mstuko wa Nini wewe watu tuna password za PM🤣🤣🤣Pole kwa mshtuko 😂😂😂😂
Mmmh kafanya nn huyu unique bro? Kuwa huruNikifunua kinywa changu mtalia bure.
Sipendi kulazimishwa mimi najitambua huwa sili mataputapu..ishia hapa
Ameacha ambiguous statement [emoji23]Kaka una mikwara!! Hebu sema bhana
Hapo unamchanganya mkeo ujue!!
Nani atalia sasa?? Mana unanifokea had mimi??
Ko na mimi umenikataa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu funguka, tema nyongo hata km unanisema mimi wewe sema usipindishe
Mstuko wa Nini wewe watu tuna password za PM[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameacha ambiguous statement [emoji23]
Amesema mtalia sana, na ww ukiwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Namngoja atapike
Atakuwa anashangaa tu Shemeji yangu🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Km Kantry anavyomiliki zangu na kujionea manjegeka ya waja
Amesema mtalia sana, na ww ukiwepo
Atakuwa anashangaa tu Shemeji yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tu[emoji23]Atakuwa anashangaa tu Shemeji yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mna siri gani? Maana pia kasema hapo huwa hali mataputapu, mtalia sana ishia hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aloooo
Emu aje kwanza nilie
Bora kuzijibu tu!🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anakauka kucheka, piem zingine anajibu yeye watu
Mna siri gani? Maana pia kasema hapo huwa hali mataputapu, mtalia sana ishia hapo.
Umemfanya nn tena?
Unaishia tu kusema hiiiiiii😁😁Acha tu[emoji23]
Bora kuzijibu tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jibu kesi vizuri 🤣🤣🤣Me nina siri? Piem yangu unaingia na kutoka km ubungo to kimara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unasomaga chat zote wewe au unajishaua hapa??
Kanisani Mbezi Luis Moravian Mkuu..Mrembo kile kikombe cha mwanakondoo ameshinda ulinunua wapi?
Unajibu ukimaliza hufuti unampa shem ale ubuyu wooooote🤣🤣🤣Ila zako najibu mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh katoa kauli nzito halafu kapotea,ngoja shemeji tutajua tu alimaanisha Nini🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mna siri gani? Maana pia kasema hapo huwa hali mataputapu, mtalia sana ishia hapo.
Umemfanya nn tena?