Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah

Sisi tulitaka tu kuweka mambo sawa
Ila shida ushahidi hatuna.

Alikataa katakata.
 
Heaven Sent [emoji23]

Zile tuhuma mwamba alikana .

Kuanzia za Coca,alisema hajawahi wasiliana naye.

Kuja zile zetu zote alikana..
Sasa tungepata ushahidi akiwa anawaambia watu ingekuwa vizuri zaidi.

[emoji23][emoji23][emoji23] Achilieni mioyo kwanza
Jisameheni kisha samehe na wale wote waliokukwaza.
Ukishapata amani ya moyo, utaona vile Mungu anaenda kumuumbua adui yako.
Kuna nguvu kubwa ndani ya MSAMAHA
 
Heaven Sent [emoji23]

Zile tuhuma mwamba alikana .

Kuanzia za Coca,alisema hajawahi wasiliana naye.

Kuja zile zetu zote alikana..
Sasa tungepata ushahidi akiwa anawaambia watu ingekuwa vizuri zaidi.
Hili lenu mm naomba nijitoe, maana nitachukiwa na watu wengi huku[emoji23][emoji23]
 
Nilimkuwa namueleza dada kuwa huyo mwingine analazimisha nisivyofanyaga.
Nimewahi kumuonya kqenye majukwa hapa jf na nje but sio mwelewa.

Wanaume hatufanani, sifunuagi kila sketi.
Joannah anajua fika na convo nzima ameiona hapa anamchora tu
Usimwage sana mchele kwenye kuku mwengi babamtu😅😅😅Haya yote umeyataka wewe kivuruge! Lamomy
 
Nataka mi kuvunjwa miguu na kutenguliwa kiuno kwa mitama?? Mtu mwenyewe kashatumia sana mjani wa Bob huko chugga hana hata anachoogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kaka Yako keshaweka sawa kumbukumbu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah

Sisi tulitaka tu kuweka mambo sawa
Ila shida ushahidi hatuna.

Alikataa katakata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] komaeni na huyohuyo lamomy, asiwatanie kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Achilieni mioyo kwanza
Jisameheni kisha samehe na wale wote waliokukwaza.
Ukishapata amani ya moyo, utaona vile Mungu anaenda kumuumbua adui yako.
Kuna nguvu kubwa ndani ya MSAMAHA
Sisi tulishasamehe
Ila huwa tunataka kuweka mambo clear tujue mbivu na mbichi
 
Chata zetu za mwanakondoo
Mshoneshee na shati la kitenge[emoji23]

Kuna vitenge na khanga za mwanakondoo.
Ni mwanamama tutamchukulia na kitenge.Asante sana kwa ushauri .Akipiga zake 'Uhuru wa Yesu?' huku katinga mwanakondoo itakuwa unyama sana.Na mimi ntaonekana mtu wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…