Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

😍😍😍😍
Raha unazonipa nao wanataka wazionje khaaa!!!
Hivi waliona wapi kaburi wakazikwa watu wawili? Hebu wakuache bhana!!!
Nitashindwa kuwavumilia mimi sio Joannah ooh!!
Mi Zai kijiwe nongwa nikiamsha mashetani yangu yanaamliwa na mods tyuuu!!!
🤣🤣🤣🤣Bwana wee Nazi iliyokomaa ndiyo inaunga mboga
 
Umeanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkono mrefu wa kutalii kila pembe ya mwili wako!! Sio kwenye pesa!! Mkinga sihongi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa inaniuma balaa
Sijasema unahonga, Ila nimesema hunaga mkono mfupi[emoji23][emoji23]

Nakukubali sana

Chukua maua yako[emoji120]
 
Ana ile nyingine ....watanzania wabubujikwa na machozi.
ila huyu faza ameamua kuzima Data mazima.😂
Sijui kwanini huwa namvutia picha kama mtu mwenye pigo za kidalali au teacher wa math.
Yani ile design ya kuchomekea shati ambalo lina mabaka ya jasho kwapani, moka imelika soli upande mmoja, ki bahasha cha A4 kwapani halafu saa zote yupo resi kama vile anafuatilia issue ya maana.
 
Kesho nayo siku.
Ibadani..Mungu akipenda🙏

Usiku mwemeni wazee wa kuvumiliana😂.

Narudi zangu kijiweni selfika.
 
Back
Top Bottom