Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hana mkono mfupi kabisa[emoji23][emoji23]Wacha wee!namuaminia sana dogo langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana mkono mfupi kabisa[emoji23][emoji23]Wacha wee!namuaminia sana dogo langu
Wivu muhimu huyu jamaa kavuruga akili yangu 😂😂😂😂Acha wivu dogo!usisumbuliwe na tumambomambo we kamanda sana
Unataka kusema nini? 😂😂😂Weekend leo, ndio huwa anabebisha sana[emoji23]
Lamama a.k.a tajiri mtoto[emoji23]
Nakutegemea mengi sana[emoji23][emoji23]Unataka kusema nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Wivu muhimu huyu jamaa kavuruga akili yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi mswahili haswaa nawachachua siwaachi
Umeanza 😂😂😂Hana mkono mfupi kabisa[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Bwana wee Nazi iliyokomaa ndiyo inaunga mboga😍😍😍😍
Raha unazonipa nao wanataka wazionje khaaa!!!
Hivi waliona wapi kaburi wakazikwa watu wawili? Hebu wakuache bhana!!!
Nitashindwa kuwavumilia mimi sio Joannah ooh!!
Mi Zai kijiwe nongwa nikiamsha mashetani yangu yanaamliwa na mods tyuuu!!!
Shemeji kaanza taratibu!yupo Ciroc ya ngapi🤣🤣🤣🤣Umeanza 😂😂😂
Mkono mrefu wa kutalii kila pembe ya mwili wako!! Sio kwenye pesa!! Mkinga sihongi 😂😂😂😂
Pesa inaniuma balaa
Akuu mi dafu mwenzio!! Sihitaji ukomavu 😂😂😂🤣🤣🤣🤣Bwana wee Nazi iliyokomaa ndiyo inaunga mboga
😂😂😂 week end leoShemeji kaanza taratibu!yupo Ciroc ya ngapi🤣🤣🤣🤣
Sijasema unahonga, Ila nimesema hunaga mkono mfupi[emoji23][emoji23]Umeanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkono mrefu wa kutalii kila pembe ya mwili wako!! Sio kwenye pesa!! Mkinga sihongi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa inaniuma balaa
Namkubali sana, hanaga mkono mfupi[emoji23]Shemeji kaanza taratibu!yupo Ciroc ya ngapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mxxiewwww 😂😂😂😂Sijasema unahonga, Ila nimesema hunaga mkono mfupi[emoji23][emoji23]
Nakukubali sana
Chukua maua yako[emoji120]
Jizime data 😂😂😂Namkubali sana, hanaga mkono mfupi[emoji23]
Sijui kwanini huwa namvutia picha kama mtu mwenye pigo za kidalali au teacher wa math.Ana ile nyingine ....watanzania wabubujikwa na machozi.
ila huyu faza ameamua kuzima Data mazima.😂
😂😂😂 Anna futaSifuti chochote na sijakuquote popote.
Labda umwambie unique mwenyewe aliyekumention aache utoto wa kukumention.
Hizo habari za futa mpelekeeni maua mwenyewe aliyemention watu😆😂😂😂 Anna futa
Ma last born sijui tukoje khaaaaaa!!
Muache tu hakuna shida😂😂😂 Anna futa
Ma last born sijui tukoje khaaaaaa!!
Maturity!Muache tu hakuna shida