Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

[emoji3][emoji3]
Thanks for reminding me
Basi umenipa clue ya zawadi yako

Sijui niupate wapi



Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
[emoji3][emoji3]
Thanks for reminding me
Basi umenipa clue ya zawadi yako

Sijui niupate wapi



Sent from my SM-G570F using Tapatalk


mhhh wa muda..cheki nyuz za miss natafta alioka kuku km sikosei...kitu km hicho au la kuna kitu alipika nikamsifia sufuria nadhan
 
hhahahaa mm huyu ni zaidi ya kaka..nikiwa na kiu na njaa nausingiz vyote namshitakiaga yy..as u knw matwins huwa tunapendana kiasili....[emoji445][emoji445]tetema...asnte mamy...penda ww
Fanya kunitafutia na mimi twin humu basi, maana wengi hawataki hata urafiki tu na mimi kisa single mom sijui wanaogopa ntawabebesha majukumu lol
 
Fanya kunitafutia na mimi twin humu basi, maana wengi hawataki hata urafiki tu na mimi kisa single mom sijui wanaogopa ntawabebesha majukumu lol


Hahaa mm naaminisha best ..huyu ni pacha na mm ni pacha...then kuna vitu tu tumeclick...hahaa wanaobeza masingo mama wananichefua sana moyo...!enjoy life mamy. ishi uwezavyo..kuna mtu atakuja tokea mtaelewana...!mradi usimbebeshe sana misalaba yako tu...
 
Heri ya kuzaliwa manengelo mlipa kodi mwenzangu nakuaandalia Kvant kubwa usisahau kupitia leo furahi dai.
BTW Uwe na miaka 120 yenye afya na nguvu
😍😍😍huwa nakupenda bila sababu !Amen mama mlipa kodi mwenzangu...naijia na sprite hyo nile kwanza sato hapa nishibe ndo nianze IFUNDA taratiibu😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…