Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

Hahaa hakuna wa kunipikia..labda nijisogeze kwa mtoa mada..nipo ugenini huku hawaelewi ht maana ya besdei😅...wine huki hakuna kuna ngumu tu...msos napendelea pilau..tena anipikie muislam😊
Kwani hawakuzaliwa? Hata sisi tulikua hatufanyi hayo mambo lakini siku hizi tunajaribu kuandika chooni ili tusisahau BD za watoto na wenzetu maana ni vigeni. Pilau la Muislam likoje?
 
Kwani hawakuzaliwa? Hata sisi tulikua hatufanyi hayo mambo lakini siku hizi tunajaribu kuandika chooni ili tusisahau BD za watoto na wenzetu maana ni vigeni. Pilau la Muislam likoje?
Same to me... Sijawahi celebrate siku hii. Na huwa naikumbuka ikishapita...

Tena huku mikoani vijijini watu hizi issue hawana kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Same to me... Sijawahi celebrate siku hii. Na huwa naikumbuka ikishapita...

Tena huku mikoani vijijini watu hizi issue hawana kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

duh..bas malezi tunayopewa..mimi ikifikaga 1st April baba na mama wanaanza niambia...yaan sisi had baba bdy yake tunacelebrate balaa ...mimi bora nisile xmas ila bdy muhim sana..sie had wabibi tunazijua hahaha...kwa hilo nawarithisha na wanangu aisee
 
Kwani hawakuzaliwa? Hata sisi tulikua hatufanyi hayo mambo lakini siku hizi tunajaribu kuandika chooni ili tusisahau BD za watoto na wenzetu maana ni vigeni. Pilau la Muislam likoje?

ahahaa...walizaliwa..ila hawana ishu hiz..pilau bwana akupikie muislam..muislam og utapenda...naamanisha
 
duh..bas malezi tunayopewa..mimi ikifikaga 1st April baba na mama wanaanza niambia...yaan sisi had baba bdy yake tunacelebrate balaa ...mimi bora nisile xmas ila bdy muhim sana..sie had wabibi tunazijua hahaha...kwa hilo nawarithisha na wanangu aisee
Yah, background ina influence, nakumbuka doto alimnunulia mshua zawadi ya saa kwenye bday yake.. Muhusika mwenyewe akashangaa kuwa alizaliwa siku hiyo. Ikabidi tuzimwage crate za kutosha kucelebrate..

Sasa imagine at age ya 50+ mtu hajawahi hata celebrate bday yake[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 wasukuma bwana hahhaa sie had bdy za wajomba zipp hapa kicjwan..yaan wazoeze wanaonbwana we
 
Asante mzee baba..kuna common interest moe na ww hiwa tunashea...ila kwq suala.la perfume wala sivungi niambie naipataje tu[emoji28]
Sintakuambia kwa sasa maana niko mbali ila nakuja soon huko
Sijui ulipo tu ila kama ndio nitakapotua ntakutafutia moja nzuri

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Dah..hepi bethdei manengelo ...unazidi kukua na kupendeza ...shikilia hapo hapo...una Pepsi zangu mbili..baridiii[emoji56]

Sent using Beretta ARX 160
h
Hahhaha asante mdogo wangu...badilisha pepsi iwe coca mkuu😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…