Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

Sifa mojawapo ya Mungu, ni muweza wa yote,

Ikiwa aliwafufua watu, Yohana akiwemo, ashindwe na nini?

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Sifa moja wapi ya MUNGU HALALI USINGIZI. haya niambie yesu alikuwa halali?
 

Attachments

  • Screenshot_20240916_104146_Samsung Internet.jpg
    101.2 KB · Views: 2
Mwenye aya au kifungu kinachohusu mabikra 72 atuletee hapa tusome na tujifunze hapo!
 
Sifa moja wapi ya MUNGU HALALI USINGIZI. haya niambie yesu alikuwa halali?
Isaya 40:28-29

Mungu hasinzii Wala hachoki, mwili wake ndio ulisinzia, Yeye ni Mungu, uungu wa Yesu ni ROHO yake. Hivyo hajawahi sinzia.

Yesu Yu hai Hadi sasa tunavyoongea, hasinzii Wala hachoki, anahudumia Ulimwengu mzima kupitia Roho wake MTAKATIFU.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Kwani roho si ipo ndani ya mwili?
Kama mwili wake ukilala si ndo yeye kalala?mwili unawakilisha roho yako wewe ukilala na roho yako inalala.kwa hyo SIFA YA UMUNGU HANA maana alikuwa analala.

Je yesu alikuwa na sifa ya kula chakula na kwenda chooni?
 
Kwani roho si ipo ndani ya mwili?
Kama mwili wake ukilala si ndo yeye kalala?mwili unawakilisha roho yako wewe ukilala na roho yako inalala.kwa hyo SIFA YA UMUNGU HANA maana alikuwa analala.

Je yesu alikuwa na sifa ya kula chakula na kwenda chooni?
Roho inalala?

Mungu alipokuja katika mwili wa mwanadamu lazima ale kama WANADAMU.

Usishangae kuhusu kula, Mbinguni pia Kuna vyakula na vinywaji pia.

Nadhani unajua kuwa Yesu alikufa na kufufuka na kupata Mbinguni.

Anasubiri umwamini akuokoe na akupe maisha ya milele, usijetupwa JEHANUM.
 
Acha uongo.mbinguni hakuna vyakula.
Nani anayepika huko mbinguni.?
 
Acha uongo.mbinguni hakuna vyakula.
Nani anayepika huko mbinguni.?
Soma (Mathayo 26:29),

Akiwa na wanafunzi wake katika last supper, anawaambia sitakunywa tena mzabibu huu, Hadi pale atakapokunywa MBINGUNI.

Mbinguni Kuna kula na kunywa, ila habari za Kuoa mabikra 72 ni uongo wa Mudi, Mbinguni hakuna Kuoa na kuolewa, tutakuwa kama Malaika Mbinguni.

Amen
 
Nimekuuliz anayepika vyakula vya mbinguni ni nani?
 
Acheni uongo nyie makhurafi siku alozaliwa haijulikani kitarehe ila siku alokufa ndo inojulikana kitarehe kwaio nyinyi mnasherekea kifo cha mtume na wala si kuzaliwa kwake
 

Basi tukubaliane kwenye hilo hakuna aya ya Quran wala hadith haya tupe japo uthibitisho wa Sunnah mtume Muhammad aliwahi kusherehekea mazazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…