Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa moja wapi ya MUNGU HALALI USINGIZI. haya niambie yesu alikuwa halali?Sifa mojawapo ya Mungu, ni muweza wa yote,
Ikiwa aliwafufua watu, Yohana akiwemo, ashindwe na nini?
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Isaya 40:28-29Sifa moja wapi ya MUNGU HALALI USINGIZI. haya niambie yesu alikuwa halali?
kwamba haumini?Mwenye aya au kifungu kinachohusu mabikra 72 atuletee hapa tusome na tujifunze hapo!
Kwani roho si ipo ndani ya mwili?Isaya 40:28-29
Mungu hasinzii Wala hachoki, mwili wake ndio ulisinzia, Yeye ni Mungu, uungu wa Yesu ni ROHO yake. Hivyo hajawahi sinzia.
Yesu Yu hai Hadi sasa tunavyoongea, hasinzii Wala hachoki, anahudumia Ulimwengu mzima kupitia Roho wake MTAKATIFU.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Roho inalala?Kwani roho si ipo ndani ya mwili?
Kama mwili wake ukilala si ndo yeye kalala?mwili unawakilisha roho yako wewe ukilala na roho yako inalala.kwa hyo SIFA YA UMUNGU HANA maana alikuwa analala.
Je yesu alikuwa na sifa ya kula chakula na kwenda chooni?
Acha uongo.mbinguni hakuna vyakula.Roho inalala?
Mungu alipokuja katika mwili wa mwanadamu lazima ale kama WANADAMU.
Usishangae kuhusu kula, Mbinguni pia Kuna vyakula na vinywaji pia.
Nadhani unajua kuwa Yesu alikufa na kufufuka na kupata Mbinguni.
Anasubiri umwamini akuokoe na akupe maisha ya milele, usijetupwa JEHANUM.
Kwani hapa JF hakuna wenye hiyo ilmu?WAULIZE WENYE ILMU IKIWA WEWE HUJUI .UNAULIZA HAPA JF? MALAIKA 3 SIMPLE WEWE USISHEREKEE SAWA.
Soma (Mathayo 26:29),Acha uongo.mbinguni hakuna vyakula.
Nani anayepika huko mbinguni.?
Sawa, haya Tupe tarehe yake sasa.Huyo wakristo wameharibu tarehe yake
Nimekuuliz anayepika vyakula vya mbinguni ni nani?Soma (Mathayo 26:29),
Akiwa na wanafunzi wake katika last supper, anawaambia sitakunywa tena mzabibu huu, Hadi pale atakapokunywa MBINGUNI.
Mbinguni Kuna kula na kunywa, ila habari za Kutoa mabikra 72 ni uongo wa Mudi, Mbinguni hakuna Kutoa na kutolewa, tutakuwa kama Malaika Mbinguni.
Amen
hauwezi kuipata tena.wameshavuruga.tuna baki kudhani tu.Mungu pekee aliyemuumba ndo anajuaSawa, haya Tupe tarehe yake sasa.
Hayo mapumziko ambayo unayafurahia kuyapata kwa siku moja ya leo, ndio furaha ambayo sisi jobless tumeshaizoea mana tunaipata kila siku.Hongereni Bwana, mmetupa fursa na sisi kupumzika leo
Yesu na Issa n watu wawili tofauti.Yesu na issa ni mmoja.
Maria na mariam ni mmoja.
Ila mapokeo ndo tofauti
Acheni uongo nyie makhurafi siku alozaliwa haijulikani kitarehe ila siku alokufa ndo inojulikana kitarehe kwaio nyinyi mnasherekea kifo cha mtume na wala si kuzaliwa kwakeMtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni:
Sifa hizi zinamfanya Mtume Muhammad (S.A.W) kuwa mfano wa kipekee wa maadili na tabia njema kwa wanadamu wote.
- Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin)
Mtume Muhammad alijulikana kwa uaminifu na uadilifu wake tangu utoto. Alipewa jina la "Al-Amin" maana yake ni "mwaminifu" kwa sababu watu walikuwa na imani naye sana katika masuala ya mali na siri zao.- Huruma na Upole
Alikuwa na huruma kubwa kwa wanadamu, wanyama, na mazingira. Aliwahurumia maskini, mayatima, na wale waliokandamizwa. Mtume Muhammad alihimiza watu kuwasaidia wengine, na upole wake ulionekana hata kwa maadui zake.- Uvumilivu
Katika nyakati za changamoto na mateso, Mtume Muhammad alionyesha uvumilivu mkubwa. Alivumilia mateso ya Maquraishi kwa miaka mingi kabla ya hijra kwenda Madina, na hakujibu mabaya kwa mabaya, bali aliwapa watu muda wa kutubu na kubadilika.- Haki na Usawa
Mtume Muhammad alikuwa mlinzi wa haki na usawa kati ya watu wa tabaka zote. Alipinga ubaguzi wa aina yoyote, iwe ni kwa rangi, rangi au hadhi ya kijamii. Alifundisha kuwa watu wote wako sawa mbele ya Mungu, na cheo kinachopimwa ni uchamungu wao.- Unyenyekevu
Licha ya kuwa kiongozi mkubwa na Mtume wa mwisho, Muhammad (S.A.W) aliishi maisha ya unyenyekevu. Alikataa anasa na maisha ya kifahari, na alikuwa mfano wa jinsi ya kuishi kwa unyenyekevu, bila ya kujali nafasi au cheo chake.- Ujasiri
Mtume Muhammad alionyesha ujasiri mkubwa katika kupigania haki na uadilifu. Aliongoza vita kadhaa bila woga kwa ajili ya kulinda dini na umma wake dhidi ya dhulma, huku akizingatia kanuni za haki hata wakati wa vita.- Ukweli na Uaminifu
Alikuwa mkweli daima, hata katika mazingira magumu au yanayotishia maisha yake. Hakuwahi kusema uwongo, na Waislamu wanamfuata katika kuwa waaminifu na kusema ukweli daima.- Upendo kwa Familia na Wafuasi
Mtume Muhammad alikuwa mume na baba mwenye upendo mkubwa. Alitenda haki na upendo kwa wake zake, watoto wake, na wafuasi wake wote. Aliwahimiza watu kuwapenda familia zao na kuwajali kwa moyo wa dhati.- Uchaji Mungu na Ibada
Mtume Muhammad alikuwa na ibada kubwa kwa Allah (S.W). Aliomba kwa bidii, alifunga sana, na alikuwa na uchaji wa kweli kwa Mwenyezi Mungu. Alikuwa mfano bora wa jinsi ya kuishi maisha ya kidini.
Siyo kila kitu lazima kielekezwe na aya,bali hutotakiwa kulifanya jambo ikiwa limekatazwa na aya,mfano aya imekataza kufunga ndoa na watu fulani,hivyo ambao hawakutajwa na aya ni ruksa kufunga nao ndoa,aya imeharamisha vyakula fulani, ambavyo havikutajwa ni halali bila aya kusema
Kabla ya kujibu kuhusu nani apikaye vyakula Mbinguni,Nimekuuliz anayepika vyakula vya mbinguni ni nani?