Hbd mheshimiwa, tumekukumbuka sana maisha magum mtaani vitu vimepanda bei, huyu uliyemwachia nchi kasitisha ajira na nyongeza ya mishahara, kwake yeye ni bora kununua ndege kuliko kutoa ajira na nyongeza ya mishahara, tunakulaumu sana kutuletea mtu ambaye hafit kuwa raisi, ingekua kipindi chako vijana wangekua wameshapata ajira na sisi tushaongezewa mishahara, tumekukumbuka baba, jitahd bac hata umshaur jinsi ambavyo ww ulkua unaweza kuiendesha nchi na maisha yakawa na nafuu mtaani na jinsi ulivyoweza kushusha bei ya vitu.