Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Happy birthday jk hakika tunakukumbuka sana..hasa ktk kipindi hiki kigumu cha kuisoma namba ya kirumi tunakukumbuka mzee wetu...
Natamani siku zirudi nyuma nisome na kuhitimu kipindi upo madarakani ili nipate kazi jamani poor me
 
Kikwete alipata fursa ya kipekee ya kujenga kumbukumbu yake kwa zaidi ya mika elfu moja ijayo lakini akaichezea. Kwa kushindwa kwake kufanya maamuzi ya kimkakati yenye maslahi mapana kwa taifa kwa sababu ya kukumbatia siasa potofu za kishabiki zilizojikita kwenye mipasho na vijembe, kwa makusudi Kikwete alivuruga mchakato wa kupata katiba ya wananchi. Pia Kikwete alipitisha sheria kadhaa mbovu ikiwemo sheria katili ya makosa ya mtandao. Kikwete ana bahati mbaya. Kutokana na uzito wa haya makosa aliyofanya siku zote kumbukumbu yake itakuwa hasi.
 
Huyu jamaa asingeanzisha miradi iliyo nje ya bajeti, kuuwa katiba ya wananchi, kuhakikisha anapesa za miradi aliyo anzisha la sivo isianze, kwa kweli angekuwa best presida in the entire world.... maana wanasema " HAKI BILA HURUMA NI UKATILI"... hili alilijua huyu kiongozi wetu, alijitahidi kutoa haki... alijua umuhim wa kutunza maneno na kuyapima kabla hajayatoa maana Raisi akisema neno impact yake ni kubwa mno....
ahsante kwa mema uliyo fanya .... happy BD Mr. Presida wetu, long live JMK....
 
" Eti wanasema JK hachomoi.....kwani nimechomeka nini? [emoji1] [emoji1] [emoji1] "

HBD JMK.
 
Ni mshenzi type
Ungepita kimya ungepungukiwa nini kwa mfano?
Vitabu vya Mungu vyenyewe vinaagiza tuwaheshimu wazee na wenye mamlaka, wewe unatukana wazee! Utakuwa na laana wewe sio bure

Mungu akupe maisha marefu Jakaya, uone hadi kizazi chako cha tatu
 
Mawleed kareem Rais wa awamu ya nne, mheshimiwa Kikwete!
...Mungu mkubwa, akulinde (shakshiya), kumbukumbu yako, na kukubalika kwako kubaki kuwa juu, (na wabaya wasiuweze moto wako)....wakae wakijua wewe si saizi yao!
 
Happy birthday Baba Ridhimoko, wish you maisha marefu sana Mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…