BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Happy birthday daddy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK ametimiza miaka 66 leo. Ana mchango mkubwa mpk nchi kufika hapa. Unaanzaje kumtusi?Ni mshenzi type
Anatafuta kugegedwa huyo,vijana wa obama ndio walivyoWEWE UTAKUWA UNA LAANA
Ndio nyie mkipigwa mnaanza kuwaona walimu wabaya!!Ni mshenzi type
Ungepita kimya ungepungukiwa nini kwa mfano?Ni mshenzi type
Mawleed kareem Rais wa awamu ya nne, mheshimiwa Kikwete!Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.
View attachment 413694
Neno moja kwake.
Duh! Una Ugomvi naye? Kafanyaje nzee wa watu?! Kwani kakuchukulia nkeo mpaka uwe na hasira naye hivyo?!Ni mshenzi type