Leo ni siku ya marafiki duniani

Leo ni siku ya marafiki duniani

Hivi hata nna rafiki kweli? [emoji81][emoji81]
Acha nikutaje kipenzi cha moyo wangu [emoji385]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekumbwa na kipiii?
 
Wote humu ni marafiki zangu isipokuwa mods wanaofuta nyuzi hovyo au kuziunganisha bila sababu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekumbwa na kipiii?
Ulifichwa wapi kwanza uduguu?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huyo ba tamu akupe nafasi atakukondesha mdogo angu khaaa.!!
Nwei sijakumbwa na lolote niko na mahaba na faranga mie ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom