Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Hapo Kazi Tu Naamini Mnatumbuana Majipu Usisahau Ukiwa Na Ndoo Kichwani Mkononi Kidumu Ili Ndoo Ya Kichwani Ikimwagika Unaweza Kunywa Kuoga Na Kuendelea Kupika Chakula!!!!!!!
 
Fresh tu mpendwa wangu

Naona wamekusakama na kukuandama sana moniccca

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Wamejitahidi lkn wameshindwa sijui wamekwenda wapi naendelea kuwangoja
 
Hapo Kazi Tu Naamini Mnatumbuana Majipu Usisahau Ukiwa Na Ndoo Kichwani Mkononi Kidumu Ili Ndoo Ya Kichwani Ikimwagika Unaweza Kunywa Kuoga Na Kuendelea Kupika Chakula!!!!!!!
Sawa mkuu ni wazo jema ntalifanyia kazi..tena ikiwezekana ntachukua viwili kbsa
 
Moniccca inaelekea wengi hatuamini kama kweli ndio maana tunatiririka kinyume na matarajio yako, tusamehe lakini niambie tu,
HIVI NI KWELI UMEOLEWA DADA!
Nimeolewa ndiyo Ila usijali mambo mengne yatakuwa sawa tu
 
siku ya 4 tu full sifa hadi jf mwaka je? NDOA MNAZITAMANI KUZITUNZA HAMUWEZI wadada wa leo mna kaziiiiiiiiiiiiiii turudi katika misingi NDOA NI WAJIBU WETU SOTE
 
Nimeolewa ndiyo Ila usijali mambo mengne yatakuwa sawa tu
Nikutetee kidogo, ujue ulitaja hata kanisa na Reception, kwa vile mimi nipo Katavi sikuwa na njia ila yaliyo Dar hawana excuse ya kutokuthibitisha wakati ule. Ref naolewa leo
 
Kwahiyo unataka kuanza mchepuko kama kawaida yako mapema hivi ujue siku nne ni sawa na masaa 96 tu ndani ya ndoa yako.

Tulia maana mimi huwa sipendi wanafiki ulisha sema ulitaka kumpa jamaa papuchi kabla hata ya ndoa, ila msela naye akavunga tu.

Inaonyesha hujatulia wewe na usipo badilika ni kiumbe hatari sana mpenda ngono uzembe.Badilika ASAP
 
Sawa, asante kwa ushauri wako mkuu..ntalifanyia kazi..Ila nawewe uko.me kunifuata fuata.
 
Nikutetee kidogo, ujue ulitaja hata kanisa na Reception, kwa vile mimi nipo Katavi sikuwa na njia ila yaliyo Dar hawana excuse ya kutokuthibitisha wakati ule. Ref naolewa leo
Umeona eeh! Watajiju..
 
siku ya 4 tu full sifa hadi jf mwaka je? NDOA MNAZITAMANI KUZITUNZA HAMUWEZI wadada wa leo mna kaziiiiiiiiiiiiiii turudi katika misingi NDOA NI WAJIBU WETU SOTE
Umeongea points but unatia huruma sana..kwani Leo hujala? Au unastress
 
Umeongea points but unatia huruma sana..kwani Leo hujala? Au unastress
maana nakuona ndugu yangu umeitafuta sana ndoa mpaka kwa tochi WANAUME TUPO ILA HATUOI MAFUSO HUENDA NAWE ULIKUWA FUSO
TULIA NAE HUYO ILA UACHE KUJISIFIA BADO MCHANGA WEWE
 
maana nakuona ndugu yangu umeitafuta sana ndoa mpaka kwa tochi WANAUME TUPO ILA HATUOI MAFUSO HUENDA NAWE ULIKUWA FUSO
TULIA NAE HUYO ILA UACHE KUJISIFIA BADO MCHANGA WEWE
Lakin hujajibu hoja zangu rudi kwenye points plz
..naweza kukusaidia chchte?
 
Lakin hujajibu hoja zangu rudi kwenye points plz
..naweza kukusaidia chchte?
UTANISAIDIA NINI KAMA UPO KWENYE NDOA YA SIKU 4? kampikie mumeo au huna kwanza mvua ndoa hata mwezi bado mitandaoni hahahah
umeambiwa post picha za harusi umekimbilia mitini duuuuhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…