Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Yani mimi ningekuzabua mabanzi ya kutosha ingawa ni siku ya nne.
 
Uje hapa baada ya miaka 2 kutoa mrejesho!
Dah ila jamaa ana bahti. Yani wanawake wa ckuiz? !!!!!!!!!!!!!!!!Yani wewe ndye anaomba ngono sio mwanaume duuuh. Dada wewe ni hatar kama sio kimeo.
 
Alafu unatoa picha kuwa umeangaika sana kuolewa. Ni dhahil kuwa midume mingi imepitia ukaishia kusikilizia ndoa barabarani misafara ikipita ya haruc. Pole ila unaudh
 
 
Atakuwa wa hukohuko kwenu Dar
 
nawe bwana, unatuchosha!
 
Duh ndiyo tunasema utandawazi kwamba kila jambo linawekwa wazi.
Nina mashaka sana na wewe Monica kama ni kweli umeingia kwenye kwa muda wa siku nne unaeleza yote yaliyojiri chumbani

Utakuwa ni jipu kubwa ambalo litatumbuliwa muda si mrefu na kama ni kweli wakati unaandika hayo na mmeo yupo na anayakubali.
Wote mtakuwa na matatizo ya mt indio wa u bongo
 
Vivac ulichokisema ukweli, hayo mambo ya ndani huwezi kuja kuyamwaga huku barazani
 
Yako wapi maadili ya ndoa inaonekana wewe binti ukipata fursa ya kuongea na shoga zako utawaambia kila kitu mpaka jamaa akifika anakuwaje au anakupa mambo kwa staili zipi?utaibiwa na hiyo ndoa itakushinda .nakushauri usiwe na domo payu kwenye mambo yahusuyo ndoa yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…