Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Monicca it seems ur very beautfull
Ila mi cha kukuambia juz cool down ndo umetoka kuolewa sasa ukianza kujibizana na wa2 ovyoovyo si vzr
Juz relax
Nikae cool wakati nashambuliwa? Uwaambie kwanza hao waachane namimi kwanza
 
Jamani hivi mie kosa langu ni nin mbona povu linawatoka namna hii?
Kama nimekosea can't you use polite language?
Au dhamira yenu ni kuniharibia?
Plz punguze jazba..matusi nayajua nawastahi tu sawa?

sawa nyie madomo zege?
 
Hbr zenu wanajamii wenzangu.

Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.

Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..

Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.

Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.

Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.

Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..

Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.

Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.

Karibu kama kuna mwenye lolote.
nimekusamehe mke wangu, nitakupenda na kukulinda, nitaendelea kukushughulikia kitandani hata ukiwa unaumwa.
 
Mume ana bahati sana, ana bahati ya kukutana na kiazi.

Seriously, watu wameinunua hii hadithi??
 
Wewe ni mtoto mdongo Ngoma za wakubwa huziwezi..emu wahi shule huku pata kuchelewesha. Isitoshe ya kulogwa au kujitangazia wewe hayakuhusu kbsa..nakusihisi nenda kasome wenzio tumeshasoma natunamaisha yetu humu tuna changamshaa jukwaa tu.
Kama walisoma wanakuwa hwajaelimika kama wewe nini hja ya kujisifu kuwa wamesoma. Watu kama nyie ndio mnashusha hata adh ya kusoma.

Kwanza usidanganye watu kuwa umesoma naomba upost chet chako humu cha iyo masters pamoja na transicript na mimi nipost vyangu tuone nani amesoma kuliko kubakia na kumbela tu hpa. Et nimesoma. Msomi gani ambaye anaanika mambo yake ya chumbani.
 
Jamani hivi mie kosa langu ni nin mbona povu linawatoka namna hii?
Kama nimekosea can't you use polite language?
Au dhamira yenu ni kuniharibia?
Plz punguze jazba..matusi nayajua nawastahi tu sawa?

sawa nyie madomo zege?
Moniccca inaelekea wengi hatuamini kama kweli ndio maana tunatiririka kinyume na matarajio yako, tusamehe lakini niambie tu,
HIVI NI KWELI UMEOLEWA DADA!
 
Bado siamini kama ni ndoa ya kweli au ni mwendelezo wa tamthilia;
Hivi ni busara kuanika mambo ya chumbani!
Mume anajiskia je kuona mke aleta mambo ya chumbani kijiweni!
Ikiwa unaleta mrejesho wa mazuri na akikosea ci utaleta pia!
Kwanini ya chumbani yasibakie humo!
Eti ulitaka kuonja kabla ukanyimwa au yeye ndo alitaka!
Mme pima afya kweli au umemwingiza chaka mzee mwenzangu!
...ipo ciku ukiwa unapewa utaripoti live kuwa jamani eee ndo twapeana..
Duuh hongera kwa kuwa muwazi
jambilo vipi kwema mkuu
 
She fooled us all katangaza tenda ya kutangaza kuhitaji mchumba JF tarehe 14/2/2016 kaolewa 24/4/2016. Duuu hii ndoa ni yakipekee. Yani uchumba mlikaa siku 70 tu?????????????????
Si far umeshatoa mimba ngapi shost?
 
Bado siamini kama ni ndoa ya kweli au ni mwendelezo wa tamthilia;
Hivi ni busara kuanika mambo ya chumbani!
Mume anajiskia je kuona mke aleta mambo ya chumbani kijiweni!
Ikiwa unaleta mrejesho wa mazuri na akikosea ci utaleta pia!
Kwanini ya chumbani yasibakie humo!
Eti ulitaka kuonja kabla ukanyimwa au yeye ndo alitaka!
Mme pima afya kweli au umemwingiza chaka mzee mwenzangu!
...ipo ciku ukiwa unapewa utaripoti live kuwa jamani eee ndo twapeana..
Duuh hongera kwa kuwa muwazi
Unaweza kuwa upo sahihi
 
Kama walisoma wanakuwa hwajaelimika kama wewe nini hja ya kujisifu kuwa wamesoma. Watu kama nyie ndio mnashusha hata adh ya kusoma.

Kwanza usidanganye watu kuwa umesoma naomba upost chet chako humu cha iyo masters pamoja na transicript na mimi nipost vyangu tuone nani amesoma kuliko kubakia na kumbela tu hpa. Et nimesoma. Msomi gani ambaye anaanika mambo yake ya chumbani.
Ambae hajaelimika ni wewe ambaye nimefanikiwa kuigeza akili yako mpaka povu linakutoka..waliosoma wote wanajua ninachokifanya hapa
 
Back
Top Bottom