Ukanda na ukabila
Kanda ya kaskazini wapo wahausa ambao wanaongoza kwa wingi, hawa ni kama wasukuma hapa kwetu, asilimia kubwa sana ni waislamu, hawa wahausa wengi hawana elimu lakini wanajya kucheza power game, wana influence kubwa hata kwenye jeshi,
Kanda ya kusini maghahribi wapo wayoruba, wengi ni wayoruba,ndio kabila la pili kwa wanaijeria wengi, katika kila wayoruba watatu kihesabu unaweza kuwakuta wakristo wawili na muislamu moja, hawa wapo mbele sana kwenye elimu, wengi hupenda kuajiriwa. wanamuziki wengi wa naijeria ni wayoruba
Kanda ya kusini mashariki huku ni kwa wa igbo, kabila la tatu kwa wanaijeria wengi, hawa wengi sana ni wakristo, waigizaji wengi wa nigeria ni wa hili kabila, ni watu wenye mafanikio zaidi, wengi ni wafanyabiashara tangu zamani, walitaka kudai nchi yao iwe biafra ijitenge vikapigwa vita miaka ya july 1967 hadi january 1970, baada ya hii vita hata matajiri wao wote walifilisiwa ili wasije fanikiwa, ndani ya miaka 20 ama 30 tu waka bounce back na leo hii unapozungumzia uchumi wa Nigeria basi hawa ndio wameushika
Udini
Dini nayo huchangia kwa kaisi kikubwa jinsi Nigeria ilivyo, kuna waislamu wengi zaidi kuzidi wakristo japo wengi tunaocheki muvi hizi za waigbo tunapata picha ya uongo kwamba wakristo ni wengi.
Umoja katika ukanda
Kanda ya kaskazini wana umoja sana, kanda za kusini hazina umoja imara