Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania (iliyokuwa Tanganyika zamani)

FPT

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,216
Reaction score
1,848
Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.

Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma atakaposheherekea siku yake ya kuzaliwa atasheherekea Kama Juma lakini Juma akibadili jina akaitwa Hassan, tutasheherekea siku ya kuzaliwa Hassan na sio Juma.

Kutokana na mfano huo wa kubadili jina kwa Juma kuwa Hassan kutafanya kumbukumbu pekee inayobaki kukumbukwa ni ya Hassan na sio Juma. Mifano ipo mingi ya watu kubadili jina ili kupata jina lenye nguvu na maana kubwa zaidi lakini kwa ufupi nigusie mifano michache ya kwenye biblia. Abram alibadili jina na kuwa Abraham , Simon alibadili jina kuwa Petro.

Kubadili jina kunaweza kuwa na maana nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kufuta kumbukumbu za mateso na maumivu za jina la zamani na kuvuta baraka na mafanikio kwa jina jipya.

Kama inavyokuwa kwa mtu kubadili jina, ndivyo iliyokuwa inaitwa Tanganyika imebadilishwa kuwa Tanzania. Ile kumbukumbu mbaya ya mateso na maumivu ya Tanganyika imebadilishwa kwa kuwa Tanzania.

Kwa sababu Tanganyika haipo na imebadilishwa ,toka siku ya Kwanza baada ya kubadilishwa kumbukumbu zilikuwa zinaishi na zisizofutika Tanganyika zikawa za Tanzania. Kama vile mtu ambavyo hawezi kufuta siku yake ya kuzaliwa ndivyo nchi haiwezi kufuta siku yake ya Uhuru Ila inaweza kubadili jina.

Nihitimishe kwa kusema Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania, hakuna tena inayoitwa Tanganyika Kama vile ambavyo hakuna Juma baada ya kubadili jina kuwa Hassan.
 
PUMZIKA KWA AMANI MWALIMU NYERERE.

PUMZIKA KWA AMANI BABU YANGU.

YOTE ULIYOYAKEMEA YAMEHALALISHWA NA TANU MPYA.
 
Mnapotosha umma! Tanzania haijawahi kupatan uhuru bali ni Tanganyika
 
Kama ulizaliwa ukaitwa Juma baadae katika kukua kwako ukabadili jina na kuitwa Hassan, utakapokuwa unasheherekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako itakuwa siku ya kuzaliwa Juma au Hassan?

Hakuna Cha upotoshaji wala Nini Ila ndio ukweli ,siku ya Uhuru tutasheherekea Uhuru wa nchi ambayo ipo na inatambulika na Tanganyika haipo Kama ambavyo itakuwa aibu kusheherekea siku ya kuzaliwa Juma wakati tayari anaitwa Hassan vivyo hivyo ni aibu kusema leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika wakati inaitwa Tanzania.

Hivi mwanao akikuuliza kwa Nini unasheherekea siku ya Uhuru wa Tanganyika wakati haipo utajibu Nini? Lakini itakuwa ni rahisi kumwambia Leo ni siku wa Tanzania lakini zamani ilikuwa inaitwa Tanganyika.

NB: Siku ya Uhuru ni sawa na ilivyo siku ya kuzaliwa mtu.
 
Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.

Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma atakaposheherekea siku yake ya kuzaliwa atasheherekea Kama Juma lakini Juma akibadili jina akaitwa Hassan, tutasheherekea siku ya kuzaliwa Hassan na sio Juma.

Kutokana na mfano huo wa kubadili jina kwa Juma kuwa Hassan kutafanya kumbukumbu pekee inayobaki kukumbukwa ni ya Hassan na sio Juma. Mifano ipo mingi ya watu kubadili jina ili kupata jina lenye nguvu na maana kubwa zaidi lakini kwa ufupi nigusie mifano michache ya kwenye biblia. Abram alibadili jina na kuwa Abraham , Simon alibadili jina kuwa Petro.

Kubadili jina kunaweza kuwa na maana nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kufuta kumbukumbu za mateso na maumivu za jina la zamani na kuvuta baraka na mafanikio kwa jina jipya.

Kama inavyokuwa kwa mtu kubadili jina, ndivyo iliyokuwa inaitwa Tanganyika imebadilishwa kuwa Tanzania. Ile kumbukumbu mbaya ya mateso na maumivu ya Tanganyika imebadilishwa kwa kuwa Tanzania.

Kwa sababu Tanganyika haipo na imebadilishwa ,toka siku ya Kwanza baada ya kubadilishwa kumbukumbu zilikuwa zinaishi na zisizofutika Tanganyika zikawa za Tanzania. Kama vile mtu ambavyo hawezi kufuta siku yake ya kuzaliwa ndivyo nchi haiwezi kufuta siku yake ya Uhuru Ila inaweza kubadili jina.

Nihitimishe kwa kusema Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania, hakuna tena inayoitwa Tanganyika Kama vile ambavyo hakuna Juma baada ya kubadili jina kuwa Hassan.
We jamaaa acha upotoshaji na mifano yako ya kuforce

Ili upate Tanzania lazima kuwe na muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar muungano haujawahi kufuta historia ya hizo nchi mbili kila Moja kati ya hizo nchi mbili Ina historia yake.

Ndio maana Moja huadhimisha mapinduzi matukufu na nyingine huadhimisha uhuru uliopatikana kwa amani
 
Kama ulizaliwa ukaitwa Juma baadae katika kukua kwako ukabadili jina na kuitwa Hassan, utakapokuwa unasheherekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako itakuwa siku ya kuzaliwa Juma au Hassan?

Hakuna Cha upotoshaji wala Nini Ila ndio ukweli ,siku ya Uhuru tutasheherekea Uhuru wa nchi ambayo ipo na inatambulika na Tanganyika haipo Kama ambavyo itakuwa aibu kusheherekea siku ya kuzaliwa Juma wakati tayari anaitwa Hassan vivyo hivyo ni aibu kusema leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika wakati inaitwa Tanzania.

Hivi mwanao akikuuliza kwa Nini unasheherekea siku ya Uhuru wa Tanganyika wakati haipo utajibu Nini? Lakini itakuwa ni rahisi kumwambia Leo ni siku wa Tanzania lakini zamani ilikuwa inaitwa Tanganyika.

NB: Siku ya Uhuru ni sawa na ilivyo siku ya kuzaliwa mtu.
Kwanini sikukuu ya Mapinduzi hamsemi Mapinduzi ya Tanzania Visiwani na mnasema Zanzibar!? Je kwanini tusiendelee kutumia Tanganyika na tunatumia Tanzania, kipi kimebadilika!?
 
Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.

Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma atakaposheherekea siku yake ya kuzaliwa atasheherekea Kama Juma lakini Juma akibadili jina akaitwa Hassan, tutasheherekea siku ya kuzaliwa Hassan na sio Juma.

Kutokana na mfano huo wa kubadili jina kwa Juma kuwa Hassan kutafanya kumbukumbu pekee inayobaki kukumbukwa ni ya Hassan na sio Juma. Mifano ipo mingi ya watu kubadili jina ili kupata jina lenye nguvu na maana kubwa zaidi lakini kwa ufupi nigusie mifano michache ya kwenye biblia. Abram alibadili jina na kuwa Abraham , Simon alibadili jina kuwa Petro.

Kubadili jina kunaweza kuwa na maana nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kufuta kumbukumbu za mateso na maumivu za jina la zamani na kuvuta baraka na mafanikio kwa jina jipya.

Kama inavyokuwa kwa mtu kubadili jina, ndivyo iliyokuwa inaitwa Tanganyika imebadilishwa kuwa Tanzania. Ile kumbukumbu mbaya ya mateso na maumivu ya Tanganyika imebadilishwa kwa kuwa Tanzania.

Kwa sababu Tanganyika haipo na imebadilishwa ,toka siku ya Kwanza baada ya kubadilishwa kumbukumbu zilikuwa zinaishi na zisizofutika Tanganyika zikawa za Tanzania. Kama vile mtu ambavyo hawezi kufuta siku yake ya kuzaliwa ndivyo nchi haiwezi kufuta siku yake ya Uhuru Ila inaweza kubadili jina.

Nihitimishe kwa kusema Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania, hakuna tena inayoitwa Tanganyika Kama vile ambavyo hakuna Juma baada ya kubadili jina kuwa Hassan.
Kwa akili yako ndogo unadhani unaweza kupata wa kumdanganya hapa JF?
 
Kama ulizaliwa ukaitwa Juma baadae katika kukua kwako ukabadili jina na kuitwa Hassan, utakapokuwa unasheherekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako itakuwa siku ya kuzaliwa Juma au Hassan?

Hakuna Cha upotoshaji wala Nini Ila ndio ukweli ,siku ya Uhuru tutasheherekea Uhuru wa nchi ambayo ipo na inatambulika na Tanganyika haipo Kama ambavyo itakuwa aibu kusheherekea siku ya kuzaliwa Juma wakati tayari anaitwa Hassan vivyo hivyo ni aibu kusema leo ni siku ya Uhuru wa Tanganyika wakati inaitwa Tanzania.

Hivi mwanao akikuuliza kwa Nini unasheherekea siku ya Uhuru wa Tanganyika wakati haipo utajibu Nini? Lakini itakuwa ni rahisi kumwambia Leo ni siku wa Tanzania lakini zamani ilikuwa inaitwa Tanganyika.

NB: Siku ya Uhuru ni sawa na ilivyo siku ya kuzaliwa mtu.

Acha uongo. Tanzania ni jina la Muungano. Tanganyika na Zanzibar ni majina ya washiriki wa Muungano.
 
PSX_20241203_054802.jpg
 
Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.

Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma atakaposheherekea siku yake ya kuzaliwa atasheherekea Kama Juma lakini Juma akibadili jina akaitwa Hassan, tutasheherekea siku ya kuzaliwa Hassan na sio Juma.

Kutokana na mfano huo wa kubadili jina kwa Juma kuwa Hassan kutafanya kumbukumbu pekee inayobaki kukumbukwa ni ya Hassan na sio Juma. Mifano ipo mingi ya watu kubadili jina ili kupata jina lenye nguvu na maana kubwa zaidi lakini kwa ufupi nigusie mifano michache ya kwenye biblia. Abram alibadili jina na kuwa Abraham , Simon alibadili jina kuwa Petro.

Kubadili jina kunaweza kuwa na maana nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kufuta kumbukumbu za mateso na maumivu za jina la zamani na kuvuta baraka na mafanikio kwa jina jipya.

Kama inavyokuwa kwa mtu kubadili jina, ndivyo iliyokuwa inaitwa Tanganyika imebadilishwa kuwa Tanzania. Ile kumbukumbu mbaya ya mateso na maumivu ya Tanganyika imebadilishwa kwa kuwa Tanzania.

Kwa sababu Tanganyika haipo na imebadilishwa ,toka siku ya Kwanza baada ya kubadilishwa kumbukumbu zilikuwa zinaishi na zisizofutika Tanganyika zikawa za Tanzania. Kama vile mtu ambavyo hawezi kufuta siku yake ya kuzaliwa ndivyo nchi haiwezi kufuta siku yake ya Uhuru Ila inaweza kubadili jina.

Nihitimishe kwa kusema Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania, hakuna tena inayoitwa Tanganyika Kama vile ambavyo hakuna Juma baada ya kubadili jina kuwa Hassan.
Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania au Tanzania bara iliyotawaliwa na mkoloni yeyote wa kutoka nje ya nchi hasa wazungu au waarabu. Nchi iliyopata uhuru ni Tanganyika yenye mikoa ya pembezoni ya
1. Ziwa magharibi (Kagera kwa sasa)
2. Mwanza
3. Ziwa Nyanza
4. Mara
5. Kigoma
6. Rukwa
7. Mbeya
8. Iringa
9. Ruvuma
10.Lindi
11. Pwani
12. Tanga
13.Kilimanjaro
14. Arusha

Amesikika mh Waziri mkuu akisema uhuru wa 'Tanzania bara' hili ni kosa kwanini asitamke 'Tanganyika' kuna shida gani?
 
Hebu tutolee mifano yako ya kijinga hapa. Tanganyika haikubadili jina kuwa Tanzania, na Zanzibar vile vile haikubadili jina kuwa Tanzania. Kinachofanyika ni wabaara kuua Existence ya Tanganyika ukiwapo wewe. Shubamit
 
Katika vitu ambavyo watu wameshashtukia mapema ni kutaka kuandika upya historia yaani kuna watu wamezaliwa baada ya uhuru ila wanajifanya wanaelewa dhana nzima ya Tanganyika kuliko hata Sir Richard Gordon Turnbull na kuliko Mwalimu Nyerere!

SIMPLE SENSE:
Tanganyika na Zanzibar ndo zimepelekea uwepo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wakati Zanzibar alifanya mapinduzi huku Tanganyika akipata Uhuru.

Kila taifa linachukulia uzito matukio yake, haina haja ya Samia ambaye ni Mzanzibari pure aje kumfundisha Zitto Kabwe kuhusu Uhuru wa Tanganyika. Haina haja yoyote ya msingi kwa Lissu ambaye ni mtanganyika kutaka kumfundisha Mwinyi kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar.

Haya matukio mawili yamebeba dhima kubwa sana kwa wananchi wake. Hakuna nchi inayoitwa Tanzania Bara bali kuna Tanganyika.
 
Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania au Tanzania bara iliyotawaliwa na mkoloni yeyote wa kutoka nje ya nchi hasa wazungu au waarabu. Nchi iliyopata uhuru ni Tanganyika yenye mikoa ya pembezoni ya
1. Ziwa magharibi (Kagera kwa sasa)
2. Mwanza
3. Ziwa Nyanza
4. Mara
5. Kigoma
6. Rukwa
7. Mbeya
8. Iringa
9. Ruvuma
10.Lindi
11. Pwani
12. Tanga
13.Kilimanjaro
14. Arusha

Amesikika mh Waziri mkuu akisema uhuru wa 'Tanzania bara' hili ni kosa kwanini asitamke 'Tanganyika' kuna shida gani?
Amekosea sana Mother Tanganyika yupo, na ataendelea kuwepo! Hakuna kitu kinaitwa Tanzania Bara! Hati za Waingereza hakuna neno Tanzania Bara.
 
Kwamba na zanzibar nao leo tarehe 9 december wanasheherekea kumbukumbu ya uhuru wao?
 
A
Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.

Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma atakaposheherekea siku yake ya kuzaliwa atasheherekea Kama Juma lakini Juma akibadili jina akaitwa Hassan, tutasheherekea siku ya kuzaliwa Hassan na sio Juma.

Kutokana na mfano huo wa kubadili jina kwa Juma kuwa Hassan kutafanya kumbukumbu pekee inayobaki kukumbukwa ni ya Hassan na sio Juma. Mifano ipo mingi ya watu kubadili jina ili kupata jina lenye nguvu na maana kubwa zaidi lakini kwa ufupi nigusie mifano michache ya kwenye biblia. Abram alibadili jina na kuwa Abraham , Simon alibadili jina kuwa Petro.

Kubadili jina kunaweza kuwa na maana nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kufuta kumbukumbu za mateso na maumivu za jina la zamani na kuvuta baraka na mafanikio kwa jina jipya.

Kama inavyokuwa kwa mtu kubadili jina, ndivyo iliyokuwa inaitwa Tanganyika imebadilishwa kuwa Tanzania. Ile kumbukumbu mbaya ya mateso na maumivu ya Tanganyika imebadilishwa kwa kuwa Tanzania.

Kwa sababu Tanganyika haipo na imebadilishwa ,toka siku ya Kwanza baada ya kubadilishwa kumbukumbu zilikuwa zinaishi na zisizofutika Tanganyika zikawa za Tanzania. Kama vile mtu ambavyo hawezi kufuta siku yake ya kuzaliwa ndivyo nchi haiwezi kufuta siku yake ya Uhuru Ila inaweza kubadili jina.

Nihitimishe kwa kusema Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania, hakuna tena inayoitwa Tanganyika Kama vile ambavyo hakuna Juma baada ya kubadili jina kuwa Hassan.
Acha kupotosha. Na siku ya mapinduzi ya Zanzibar ipo au haipo?
 
Ukifunga ndoa Kuna kua na Anniversary ya Ndoa Ila birthday kila mmoja mke na mume wanasherehekea kadiri ya Tarehe zao za kuzaliwa.

Kuna sherehe ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hiyo ndio sherehe ya Tanzania.
Lakini Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi ya Zanzibar ni sherehe binafsi za mataifa yaliyounda Muungano na ni sherehe binafsi za mataifa husika.
 
Sema ulichoandika sio kweli kiongozi.Kwa maneno yasiyozidi kumi naomba unieleze ni lini na wapi Tanganyika ilibadilika kuwa Tanzania?
 
Tanzania ilizaliwa tarehe 26 Aprili mwaka 1964 na wala sio 9 desemba
 
Back
Top Bottom