Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mpunguze ukorofi au ni ngumu? Kisa mioyo yenu ipo karibu na vumbi.....Kweli eenh?Hata kwenye madai yetu halali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpunguze ukorofi au ni ngumu? Kisa mioyo yenu ipo karibu na vumbi.....Kweli eenh?Hata kwenye madai yetu halali?
Sana.Unatakiwa ununuliwe skonkinko za kufidia gap.5.8 ni mfupi?
Watu warefu siku yetu ikifika tutakumbushana na sie tusherehekeWatu warefu siku yetu lini? Leo acha hawa vijeba watambe
WeweLeo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au gas cylinder. Mtaje member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
Sijapenda! Nimelia sanaa😣Sana.Unatakiwa ununuliwe skonkinko za kufidia gap.
Sawa MkuuWatu warefu siku yetu ikifika tutakumbushana na sie tushereheke
Kwa wanawake we sio mfupi5.8 ni mfupi?
Huoni tukitaka kujiapiza kwa kulamba mchanga inakuwa kazi rahisi?Hakyanane!Mpunguze ukorofi au ni ngumu? Kisa mioyo yenu ipo karibu na vumbi.....
Kama shida ni mchanga tutawachotea tuwamiminie mdomoni, punguzeni ukorofi na ubishi.Huoni tukitaka kujiapiza kwa kulamba mchanga inakuwa kazi rahisi?Hakyanane!
Kumbe Mtani na wewe ni mfupi mwenzangu eeeh? 😀Ndiyo maana nina furaha sana.Ngoja nitafute raizoni zangu nitinge nikanywe mbege.
Si nisingesherehekea siku ya leo 😂We sio mfupi?
Sana.Tupeni moyo ndugu zetu.Hatutawaangusha wala kububujikwa machozi.Kumbe Mtani na wewe ni mfupi mwenzangu eeeh? 😀