To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🤣Nimecheka kweli yaan...mi siyo mfupi bhanaAU mtu nusu😁😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Nimecheka kweli yaan...mi siyo mfupi bhanaAU mtu nusu😁😁😁😁
Shemeji muhuni sana mimi alinijia na id mbili tofauti acha aniporomoshee mitusi nikabaki nacheka akajisahau akajitaja 😹😹😹Itakuwa ndo wa mchana alianza kuandika mautok....o yake jina nimeshalisahau
Wambuti wanaliwa kama mbuzi huko CongoLeo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au vijeba au gas cylinder. Mtagi member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣Nimecheka kweli yaan...mi siyo mfupi bhana
Tumefikiwa, mimi ni mfupi haswa. 5.5 na ninainua vyuma vizito, wengine wanasema mi ni Harmonize minus moneyLeo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au vijeba au gas cylinder. Mtagi member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
Vincenzo Jr 🤣🤣 kumbe na ufupi umepewa? 🤣🤣 ndo Maana
Mimi ni mfupi sana afu bonge😁🤣😁🤣😁Vincenzo Jr 🤣🤣 kumbe na ufupi umepewa? 🤣🤣 ndo Maana
Waaow. That's great Equation imebalance 🤣🤣 ndio Maana mkali mkali kama unakisukari Vin akeeMimi ni mfupi sana afu bonge😁🤣😁🤣😁
😁🤣🤣😁😁😁😁😁😁 Wakija nawapokea kama walivyokuja nipo humu since 2011 Id zipo 7 zote 🤣😁😁Waaow. That's great Equation imebalance 🤣🤣 ndio Maana mkali mkali kama unakisukari Vin akee
Kwahiyo unamaanisha wewe ni tall?Ni aghalabu kukuta Msambaa ni mfupi wa kiwango cha kuitwa Andunje. Moja ya mbegu bora kabisa nchini, basi ni mbegu ya Wasambaa!! 😇
mimi sijawahi kua mfupi
Dah! Mbona mnanitaja sana kwenye uandunje? Mimi ni tall jamany
😁😂😁😁😁😁😁😁Dah! Mbona mnanitaja sana kwenye uandunje? Mimi ni tall jamany
Oyaaa mi super tall km yale majini yaliyokukwida 😹😹😹