Leo ni siku ya watu wafupi duniani

Leo ni siku ya watu wafupi duniani

Safi siku yenu inakuja usije kukimbia tu😅😅😅

Mada za hivi huwa hazinigusi sababu mie niko wastani/ katikati si mrefu si mfupi, si mnene si mwembamba, nk
Mi bana niko kawaida sio mfupi na pia sio mrefu 😹😹😹
Hivi shemeji yuko wapi sijamuona hizi siku mbili tatu?? Isije kuwa kavuta.!!
Sijamzoea kabisaaa kukaa kimya kiasi hiki
 
Screenshot_20240720_121935.jpg
 
Mi bana niko kawaida sio mfupi na pia sio mrefu 😹😹😹
Hivi shemeji yuko wapi sijamuona hizi siku mbili tatu?? Isije kuwa kavuta.!!
Sijamzoea kabisaaa kukaa kimya kiasi hiki
weekend, na kibaridi hiki kabananishwa, ila kuna ID mchana imeniwakia nahisi ni yeye
 
Back
Top Bottom