Leo ni siku ya watu wafupi duniani

Itakuwa ndo wa mchana alianza kuandika mautok....o yake jina nimeshalisahau
Shemeji muhuni sana mimi alinijia na id mbili tofauti acha aniporomoshee mitusi nikabaki nacheka akajisahau akajitaja 😹😹😹
 
Leo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au vijeba au gas cylinder. Mtagi member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
Wambuti wanaliwa kama mbuzi huko Congo
 

Attachments

  • images-18.jpeg
    59.2 KB · Views: 2
  • images-17.jpeg
    35.4 KB · Views: 2
Tumefikia hapa pa kunyanyapaana namna hii kweli? Ila haina shida mbinguni tumeshaandaliwa tayari..πŸ€ͺ
 
Leo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au vijeba au gas cylinder. Mtagi member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
Tumefikiwa, mimi ni mfupi haswa. 5.5 na ninainua vyuma vizito, wengine wanasema mi ni Harmonize minus money
 
Waaow. That's great Equation imebalance 🀣🀣 ndio Maana mkali mkali kama unakisukari Vin akee
😁🀣🀣😁😁😁😁😁😁 Wakija nawapokea kama walivyokuja nipo humu since 2011 Id zipo 7 zote 🀣😁😁
 
Ni aghalabu kukuta Msambaa ni mfupi wa kiwango cha kuitwa Andunje. Moja ya mbegu bora kabisa nchini, basi ni mbegu ya Wasambaa!! πŸ˜‡
Kwahiyo unamaanisha wewe ni tall?
Halafu wasambaa ni mahandsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…