Hahahha mi sipo kwani ukiwa muarabu kuna tatizo?
Heri ya kuzaliwa tena mkuu, sikuiona hii thread maana nilikua safarini kurudi maskani nikitokea kusini mwa Tanzania huko...
hahahaaaa!!loya
akipita huku sijui itakuaje!!
Kuna kusini mbili..
Ulikuwa kusini ipi?
Kusini ya "Inatoka au Haitoki?"...maeneo ya Chuno hapo ila ulikua ni ujio wa siku moja tu kaka kulikuwa na shughuli za kipunga huko...
Nina 27 haitoshi tu mmmmmh?
Basi nakuja tanga ku confirm
Halafu daughter mbona daddy anapigwa pigwa mikwara jamvini tu hapa...kunani??
Haruhusu mtu kukuota?
siruhusu kabisa!
halafu utakua umeiota avatar
sio mimi bana!!
But yyyyyyyyyyyyyyyy?
ha ha ha! mkuu kwasababu ya kipunga ndiyo hujasema? ha ha ha ha! karibu tena...
​ungemuomba ruhusa ya kuniota!!Sasa bit na ndoto yangu wapi na wapi? au nilipaswa kumshirikisha dady wako kabla sijakuota?