Leo ni siku yangu ya kuzaliwa........bia soda na nyama nitawa update badae

Heri ya kuzaliwa tena mkuu, sikuiona hii thread maana nilikua safarini kurudi maskani nikitokea kusini mwa Tanzania huko...

Kuna kusini mbili..
Ulikuwa kusini ipi?
 
Kuna kusini mbili..
Ulikuwa kusini ipi?

Kusini ya "Inatoka au Haitoki?"...maeneo ya Chuno hapo ila ulikua ni ujio wa siku moja tu kaka kulikuwa na shughuli za kipunga huko...
 
Kusini ya "Inatoka au Haitoki?"...maeneo ya Chuno hapo ila ulikua ni ujio wa siku moja tu kaka kulikuwa na shughuli za kipunga huko...

ha ha ha! mkuu kwasababu ya kipunga ndiyo hujasema? ha ha ha ha! karibu tena...
 
ha ha ha! mkuu kwasababu ya kipunga ndiyo hujasema? ha ha ha ha! karibu tena...

Hahaha hapana kaka siku moja tu niliona haitatosha maana nilifika ijumaa jioni, J'mosi ndio ilikua pilika za shughuli hapo Bandari Club na kuzungushwa na wenyeji kuuona mji, leo asubuhi nimegeuza.
Next time nadhani itabidi nifanye ujio mwingine...mji mzuri huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…