Leo ni siku yangu ya kuzaliwa........bia soda na nyama nitawa update badae

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa........bia soda na nyama nitawa update badae

daa..! tuombe tena mafuriko au? utaishi vipi mjini sasa.....

Sasa hivi nimehamia kwenye kilimo, baada ya watu kupanda mashamba yao...mimi hukodiwa kwenda kufanya palizi
 
Nimefikisha miaka 18 leo......sasa nina ruhusiwa kupata haki zote za msingi kama adult........Jumapili njema......wakuu
hongera mkuu.....Mwenyezi akujalie maisha marefu........
 
Back
Top Bottom