Mbona ilisha isha kitambo usinibanie bana
Heri ya kuzaliwa tena mkuu, sikuiona hii thread maana nilikua safarini kurudi maskani nikitokea kusini mwa Tanzania huko...
mafuriko yamekwisha?
Mkuu wa nchi manoah salama boss?
Mafuriko yamekwisha walau sasa hivi hatutumii mitumbwi tena
Sorry mkuu manoah niwe muwazi tu!sitaweza kuonana na wewe sababu zilizo nje ya uwezo wangu...
daa..! tuombe tena mafuriko au? utaishi vipi mjini sasa.....
Sasa hivi nimehamia kwenye kilimo, baada ya watu kupanda mashamba yao...mimi hukodiwa kwenda kufanya palizi
hiyo nyepesi na mie niunganishe basi./
hongera mkuu.....Mwenyezi akujalie maisha marefu........Nimefikisha miaka 18 leo......sasa nina ruhusiwa kupata haki zote za msingi kama adult........Jumapili njema......wakuu
Nimefikisha miaka 18 leo......sasa nina ruhusiwa kupata haki zote za msingi kama adult........Jumapili njema......wakuu