Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

koba lee

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
981
Reaction score
1,606
Ndo kama hivyo, halafu nikiangalia maendeleo niliyonayo daah.

Inabidi niwe serious na nirudi kwa muumba wangu ndo nilivyoamua hivyo, ili mwaka ujao tarehe kama ya leo panapo majaliwa niwe mahali fulani penye afadhali.

Asanteni.
 
Mkuu una miaka Mingapi? IIi wataalamu wa Saikolojia waweze kukwambia ulitakiwa kuwa wapi kwa maendeleo yako binafsi...
 
Ongeza juhudi katika kutafuta pesa mkuu lakin weka nidhamu katika kuzitumia
Kweli mkuu,na ni moja kati ya vitu ambavyo nimepanga kuvifanya,nidhamu katika pesa najua hapa ndo penye siri kubwa ya mafanikio
 
Kweli mkuu,na ni moja kati ya vitu ambavyo nimepanga kuvifanya,nidhamu katika pesa najua hapa ndo penye siri kubwa ya mafanikio
kumbuka dua na maombi katika kila hatua unayopiga.
wakumbuke masikini na mayatima hakika utafanikiwa.
 
kumbuka dua na maombi katika kila hatua unayopiga.
wakumbuke masikini na mayatima hakika utafanikiwa.
Asante sana mkuu na ntafanyia kazi huu ushauri.
 
Back
Top Bottom