Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Sikukuu inaanzia ndani ya [HASHTAG]#Clouds360[/HASHTAG]: Mfalme atawajibika kujibu kuhusu [HASHTAG]#MoFaya[/HASHTAG]. Je ni yake? Inapatikana na wapi na nondo nyingine atakazoulizwa na samsasali @hassan_ngoma na@babbiekabae.
Wakati 360 wanauliza Biashara, Ali hatabaki salama kwani habari zote za harusi na ndoa yake zitaweka wazi na wale mafundi wa [HASHTAG]#LeoTena[/HASHTAG]. Kwa mara ya kwanza hapo utamsikia mkewe (Amina) akizungumza kwenye redio. Kuna ubuyu mwingi hapo utamwagika. Si mnataka ngoma? Si mnataka video? Akitoka [HASHTAG]#LeoTena[/HASHTAG], Chama la Wana [HASHTAG]#XXLlinamdaka[/HASHTAG]. Hapo itabidi Ali adondoshe ngoma, hakuna namna. Kisha kipindi kizima atajibu maswali ya ndani kabisa kuhusu muziki wake.
Sikukuu haitaishia hapo, vijana wa kale wazee wa#Jahazi watazungumza na wakurugenzi wa#RockStar. Hivi Ali Kiba pale anamiliki nini? Ni bosi kweli au janja janja? Na akitoka hapo,[HASHTAG]#MvumoWaRadi[/HASHTAG] unakwenda kuvuma kwenye#Amplifaya ya @millardayo na @meena_ally.
[HASHTAG]#KeshoNiSikukuu[/HASHTAG]: [HASHTAG]#AliKibaDay[/HASHTAG]
Source cloudsfm Instagram official page!