Leo ni Sikukuu Alikiba anaachia ngoma mpya clouds media

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Sikukuu inaanzia ndani ya [HASHTAG]#Clouds360[/HASHTAG]: Mfalme atawajibika kujibu kuhusu [HASHTAG]#MoFaya[/HASHTAG]. Je ni yake? Inapatikana na wapi na nondo nyingine atakazoulizwa na samsasali @hassan_ngoma na@babbiekabae.

Wakati 360 wanauliza Biashara, Ali hatabaki salama kwani habari zote za harusi na ndoa yake zitaweka wazi na wale mafundi wa [HASHTAG]#LeoTena[/HASHTAG]. Kwa mara ya kwanza hapo utamsikia mkewe (Amina) akizungumza kwenye redio. Kuna ubuyu mwingi hapo utamwagika. Si mnataka ngoma? Si mnataka video? Akitoka [HASHTAG]#LeoTena[/HASHTAG], Chama la Wana [HASHTAG]#XXLlinamdaka[/HASHTAG]. Hapo itabidi Ali adondoshe ngoma, hakuna namna. Kisha kipindi kizima atajibu maswali ya ndani kabisa kuhusu muziki wake.

Sikukuu haitaishia hapo, vijana wa kale wazee wa#Jahazi watazungumza na wakurugenzi wa#RockStar. Hivi Ali Kiba pale anamiliki nini? Ni bosi kweli au janja janja? Na akitoka hapo,[HASHTAG]#MvumoWaRadi[/HASHTAG] unakwenda kuvuma kwenye#Amplifaya ya @millardayo na @meena_ally.

[HASHTAG]#KeshoNiSikukuu[/HASHTAG]: [HASHTAG]#AliKibaDay[/HASHTAG]
Source cloudsfm Instagram official page!
 
Hao ndi CMG hapo ndipo ninapo ukumbuka wimbo wa Fid Q -Propaganda.
 
Mods unganisheni hii picha mimi imenishinda
Screenshot_2018-05-11-00-18-31.jpg

CC Mods
 
Sikukuu inaanzia ndani ya [HASHTAG]#Clouds360[/HASHTAG]: Mfalme atawajibika kujibu kuhusu [HASHTAG]#MoFaya[/HASHTAG]. Je ni yake? Inapatikana na wapi na nondo nyingine atakazoulizwa na samsasali @hassan_ngoma na@babbiekabae.

Wakati 360 wanauliza Biashara, Ali hatabaki salama kwani habari zote za harusi na ndoa yake zitaweka wazi na wale mafundi wa [HASHTAG]#LeoTena[/HASHTAG]. Kwa mara ya kwanza hapo utamsikia mkewe (Amina) akizungumza kwenye redio. Kuna ubuyu mwingi hapo utamwagika. Si mnataka ngoma? Si mnataka video? Akitoka [HASHTAG]#LeoTena[/HASHTAG], Chama la Wana [HASHTAG]#XXLlinamdaka[/HASHTAG]. Hapo itabidi Ali adondoshe ngoma, hakuna namna. Kisha kipindi kizima atajibu maswali ya ndani kabisa kuhusu muziki wake.

Sikukuu haitaishia hapo, vijana wa kale wazee wa#Jahazi watazungumza na wakurugenzi wa#RockStar. Hivi Ali Kiba pale anamiliki nini? Ni bosi kweli au janja janja? Na akitoka hapo,[HASHTAG]#MvumoWaRadi[/HASHTAG] unakwenda kuvuma kwenye#Amplifaya ya @millardayo na @meena_ally.

[HASHTAG]#KeshoNiSikukuu[/HASHTAG]: [HASHTAG]#AliKibaDay[/HASHTAG]
Source cloudsfm Instagram official page!
Analipia au ni bureeeeeee ? kama ni bureeeeeee clouds wamekwisha
 
clouds wanapata shida sana kumbeba huyu kijana... wafanyakazi wa clouds wanaipiga kwa ngwaru kwenye simu zao na wanaicheza sana harusini.. maana harusi za kisasa ni nyimbo za WCB tu ndio zinapigwa mda wote...

kwenye interview wasisahau kumwambia king kiba afungue rock star tv na redio na aanzishe lebo yake kama WCB
 
Back
Top Bottom