Leo ni Sikukuu Alikiba anaachia ngoma mpya clouds media

Leo ni Sikukuu Alikiba anaachia ngoma mpya clouds media

Masikini labda wamemshindwa aslay wamehamia kwa king kiba,
Ndo walivyo clouds,,walianza kufeli kitambo saaana tangu enzi za kiba anarudi ,king is back 2014,wakafeli akafeli kwenye cheke tour 2016,wamefeli kwa Aslay na subarlakher wake another day wanaenda kufeli leo..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Anachotakiwa kufanya DIAMOND leo ni kunyamaza kimyaaaa!!!asilopoke chochote kuhusu kiba..hapo atakuwa winner..maana huu ni upepo wa leo na kesho tu..Alije akaachia ngoma wala maneno maneno..
Upo kama mm navowaza, inabidi aanze kusoma alama za nyakati. Hiyo ni trick imechezwa na master mind wa hili gemu [HASHTAG]#RUGE[/HASHTAG]
 
Da'Mange kwa kiba hana usemi huko aliko atakuwa anasubiria kwa hamu hiyo ngoma aiporomote
Mange kichwa chake anakijua mwenyewe yupo kama US, hana rafiki wa kudumu ukimvuruga ana kuvuruga au umelisahau povu lake kwa kiba, wiki ile kiba anatangaza ndoa, yy anapromote maandamano
 
Mpaka muda huu,wameshafeli,no trending.....ngoja tusubiri zinazokuja....
 
Back
Top Bottom