hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
nakusalimia...."" hahaaa watu na vipaji vyenu""Ahahaaaah...
Aslay wamempa likizo kidogo,sio..!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakusalimia...."" hahaaa watu na vipaji vyenu""Ahahaaaah...
Aslay wamempa likizo kidogo,sio..!?
Ndo walivyo clouds,,walianza kufeli kitambo saaana tangu enzi za kiba anarudi ,king is back 2014,wakafeli akafeli kwenye cheke tour 2016,wamefeli kwa Aslay na subarlakher wake another day wanaenda kufeli leo..[emoji23][emoji23][emoji23]Masikini labda wamemshindwa aslay wamehamia kwa king kiba,
Kuimba kupokezana.Diamond atasubiri sana mwaka huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo walivyo clouds,,walianza kufeli kitambo saaana tangu enzi za kiba anarudi ,king is back 2014,wakafeli akafeli kwenye cheke tour 2016,wamefeli kwa Aslay na subarlakher wake another day wanaenda kufeli leo..[emoji23][emoji23][emoji23]
Da'Mange kwa kiba hana usemi huko aliko atakuwa anasubiria kwa hamu hiyo ngoma aiporomoteMange vip nae hajampost au kamind kwasababu hajayasapoti maandamano yake.
Upo kama mm navowaza, inabidi aanze kusoma alama za nyakati. Hiyo ni trick imechezwa na master mind wa hili gemu [HASHTAG]#RUGE[/HASHTAG]Anachotakiwa kufanya DIAMOND leo ni kunyamaza kimyaaaa!!!asilopoke chochote kuhusu kiba..hapo atakuwa winner..maana huu ni upepo wa leo na kesho tu..Alije akaachia ngoma wala maneno maneno..
Mange kichwa chake anakijua mwenyewe yupo kama US, hana rafiki wa kudumu ukimvuruga ana kuvuruga au umelisahau povu lake kwa kiba, wiki ile kiba anatangaza ndoa, yy anapromote maandamanoDa'Mange kwa kiba hana usemi huko aliko atakuwa anasubiria kwa hamu hiyo ngoma aiporomote
siku izi umeanza kuamini uwepo wa Mungu au bado?Mawazo ya maiti haya. Kwani kwangaru ndo inafanya mambo mengine yasifanyike????
Wabongo bwana
Kwanini niamini uwepo wa kitu ambacho hakipo? Mimi sio mtumwasiku izi umeanza kuamini uwepo wa Mungu au bado?