Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado anazitafuta kwa torchOmmy kashafikisha 3m viewers?
Au wamlipe Da'Mange akiamshe maana akilipwa pesa yule mpare nina uhakika atakatisha leave ya kujifotoaTatizo Alikiba hawezi kubebeka ni msanii ambaye ameshindikana kabisa ..kamwe ni vigumu kumfunika Diamond au kufikia level zake maana habebeki kamwe kamwe........
Lengo ni kumfunika Diamond lakini hilo ni gumu maana alipo Diamond hashuki kabisa......
Yani hata wampe wiki nzima bado Alikiba ni mzigo wa miiba....
Tulia dawa ikuingiechuki mbaya sana... si lazima muangalie clouds, angalieni hata wachafu tv
Mawazo ya maiti haya. Kwani kwangaru ndo inafanya mambo mengine yasifanyike????Hayo yote lengo ni kuizika Kwangwaru mtaani sijui kama wataweza[emoji3][emoji3]
naaamm maisha bila unafiki hayaendiHao ndi CMG hapo ndipo ninapo ukumbuka wimbo wa Fid Q -Propaganda.
Wavulana wa daslam mna tabia na wivu wa kike,King kasema hahitaji kikiTatizo Alikiba hawezi kubebeka ni msanii ambaye ameshindikana kabisa ..kamwe ni vigumu kumfunika Diamond au kufikia level zake maana habebeki kamwe kamwe........
Lengo ni kumfunika Diamond lakini hilo ni gumu maana alipo Diamond hashuki kabisa......
Yani hata wampe wiki nzima bado Alikiba ni mzigo wa miiba....