Leo ni Sikukuu Alikiba anaachia ngoma mpya clouds media

Ukitaka kupaa kimuziki na kufa kibudu kimuziki stay close with Ruge Mutahaba[emoji41]
 
Tatizo Alikiba hawezi kubebeka ni msanii ambaye ameshindikana kabisa ..kamwe ni vigumu kumfunika Diamond au kufikia level zake maana habebeki kamwe kamwe........
Lengo ni kumfunika Diamond lakini hilo ni gumu maana alipo Diamond hashuki kabisa......
Yani hata wampe wiki nzima bado Alikiba ni mzigo wa miiba....
 
Au wamlipe Da'Mange akiamshe maana akilipwa pesa yule mpare nina uhakika atakatisha leave ya kujifotoa
 
Tatizo Alikiba hawezi kubebeka ni msanii ambaye ameshindikana kabisa ..kamwe ni vigumu kumfunika Diamond au kufikia level zake maana habebeki kamwe kamwe........
Lengo ni kumfunika Diamond lakini hilo ni gumu maana alipo Diamond hashuki kabisa......
Yani hata wampe wiki nzima bado Alikiba ni mzigo wa miiba....
Wavulana wa daslam mna tabia na wivu wa kike,King kasema hahitaji kiki
 
Masikini labda wamemshindwa aslay wamehamia kwa king kiba,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti sikukuu
 
Anachotakiwa kufanya DIAMOND leo ni kunyamaza kimyaaaa!!!asilopoke chochote kuhusu kiba..hapo atakuwa winner..maana huu ni upepo wa leo na kesho tu..Alije akaachia ngoma wala maneno maneno..
 
hahaa. wabongo bwana "" hiki ndio tunachokiweza aisee...Majungu non stop
 
Back
Top Bottom