Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

..duniani kuna mambo! Unapokua u mzima watakusema sema na maneno ili wao wakupe sifa mbaya. Hao ni DDC mlimani park sijui km mlikuwa mmezaliwa
 
duuuhh " naona wadau wametirilika Humu hatari ""...

mimi bwana " napenda beats za Michael Jackson ""....

smooth criminal
stranger in the Moscow
cry
 
Kwa Majani Natoka Na Beat za Nikusaidiaje, Mikasi, Nini Mnataka, Na Nampenda yeye.

Kwa Mika Mwamba.. Ya kwanza Tamala, Babe Gal, Mpenzi ya Dudu Baya, Nakumind ya Temba na Zote za mahadhi ya Barua, Salome au Omba umauti ya Fagio la chuma.

Kwa Mj nakutana na Wauguzi ya Wagosi, Fani katika Maisha ya Mzimuni family chorus ikifanyiwa maafa na Q Chilla, ukitaka nipende au nichukie ya wateule..

Soundcraft, tumerudi tena ya wateule,

Mawingu, jebi wanapagawa, alikufa kwa ngoma,


Nyinginezo... Mawazo ya Jide.... Tangazo ya Bantu Mcz..... Kaa tayari ya Jose Mtambo... Kosa la Marehem ya Uswahilini matola,... Wapo wanotaka ya Danny Msimamo,..... Kighetogheto ya Nature na Mtoto wa geti kali ya Babuu,....

Bado nafuta vumbi mafaili
 
Umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…