Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Yahh beat nzuri mimi nazungumzia. Mfano. Mikasi haikua na mashairi ya kupendeza sana ila ilikua na beat nzuri
 
Dar mpaka Moro ,tmk wanaume. Juma nature acha kucheza kwa mapepe pepe mpaka watu wakakushangaa. Nakitambitambi chenye uzitoo,cha gram ngapi ni thatee
 
Beat ya wimbo wa Baabkubwa sijui aliimba nani ile ngoma.
 
Baby boy - Tyrese Gibson feat Snoop Dogg & Mr Tan (Baby boy film soundtrack)
 
Mlikuwa mnaenda shule gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…