Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Beat ya SALOME ya DULLY SYKES. Inavoaanza daah acha kabisa ile kitu,
Si ndio ile inaanza na vigoma kama wimbo wa kiarabu wa Amri Diaby. Dooo hio beat hata Amina Mohammed wa Radio One (miaka hiooo...) Alikua anaipenda sana.

Hakika ni "intro" tamu sana
 
Julietha ya Dully
Kama nataka demu ya jay Mo
Sikiliza ya ngwair ft jide
Kakuku ya mez b
Jirushe ya ferooz

Ila nyimbo za zamani nzuri sana
kama unataka demh sema unataka awejeaweje.....daah! aisee kitambooo

..kikuku cha mama rhoda kimekula mtama wangu..mamaaa aiyolelaa iyolelaa iyolelaa hahahah hawa jamaa aisee,

kweli tunazeeka ss....uuwi![emoji24]
 
Mkuu umenifanya niimbe wakati nayasoma haya mashairi.

Yaani tunazeeka kweli, siku hazigandi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…