hope heals
Member
- Nov 4, 2017
- 39
- 39
Hahahaha.. Unatafuta matatizo!Acha waisome namba.. wimbo wa ccm.. Inspector Komba.. beat yake naikubali sana wakuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha.. Unatafuta matatizo!Acha waisome namba.. wimbo wa ccm.. Inspector Komba.. beat yake naikubali sana wakuu...
Si ndio ile inaanza na vigoma kama wimbo wa kiarabu wa Amri Diaby. Dooo hio beat hata Amina Mohammed wa Radio One (miaka hiooo...) Alikua anaipenda sana.Beat ya SALOME ya DULLY SYKES. Inavoaanza daah acha kabisa ile kitu,
ziggy d mkuuMwaanza Zirekebishee baarabara x 2, sikumbuki hii kitu ilipigwa na nani.
kama unataka demh sema unataka awejeaweje.....daah! aisee kitamboooJulietha ya Dully
Kama nataka demu ya jay Mo
Sikiliza ya ngwair ft jide
Kakuku ya mez b
Jirushe ya ferooz
Ila nyimbo za zamani nzuri sana
nnao huu wimbo kwny playlist yngu...ni mzuri sana.Sheila.
Mkuu umenifanya niimbe wakati nayasoma haya mashairi.kama unataka demh sema unataka awejeaweje.....daah! aisee kitambooo
..kikuku cha mama rhoda kimekula mtama wangu..mamaaa aiyolelaa iyolelaa iyolelaa hahahah hawa jamaa aisee,
kweli tunazeeka ss....uuwi![emoji24]
wanocku nock watu wakusingizaa maneno yao ni kama ya simba ukiyasikiliza lazma utaumiaa....aisee daah!wanocku nock- Mandojo and domo kaya ft lady jaydee
AiseeeSelina wa Alicom,
"seli wangu we kimwana nataka tufunge ndoa...unizalie na wana...."