Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

C u when u get there coolio
huu wimbo unankumbshaga sana marehem Aaliya, nammiss na kuwazaga sijui angekuwa level gani kama angekuwepo hadi leo....
wakina beyonce, rihhana, alicia, kelly wote hawa wangesubiri aisee
 
Mkuu umenifanya niimbe wakati nayasoma haya mashairi.

Yaani tunazeeka kweli, siku hazigandi.
hahaha mm hadi tune inapiga kichwani kabisa, alafu na hisia za kipindi kile zinarudi....
 
Ya leo kali - Tmk Family
dah! nakumbuka migo migo usalama nilinunua karedio kangu ka kichina enzi hizo ndio vinaingia 2007 kadogo sana size ya pakti ya kiberiti za MO
ile nawasha tu Times fm enzi hizo y Kina Dman
 
Ngoma moja ya Jay z inayoitwa young forever ilikuwa inanibamba balaa
 
D KNOB@ELIMU MITAANI..wacha kabsa hii ki2 imenifanya niharibu pesa zangu kwa kununua earphones karibia kila wiki maana nlikua naiweka auto replay wakati mwengine nikistuka kitandani usiku nakuta ear phones nimezikatakata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…