Leo Niko na mke outing anasema siasa za Tanzania niziache ngumu

Hongera!, mwake mwake!
Kumbe na wewe umejiunga na team ya Dr. Shika, Prof. Sarungi, Prof. Mbilinyi, Issack Sepeku, Dr. Ntuyabaliwe, Nasoro Malocho, Stephen Sefu, Prof. Msuya, etc, wakipokwenda kusoma huko, wakajibebea!
P
Umemsahau na Dr. Binirith Mahenge Mbunge wa zamani wa Makete, RC wa Mikoa kadhaa nchini, nk. Na yeye pia ameoa Mrusi ambaye anaishi naye hapa Bongo.
I wish na mimi ningempata mmoja wa kumalizia naye maisha. Hawa ndugu zangu siyo wa kuwawekea dhamana hata kidogo. Dakika 0 wanakusababishia ugonjwa wa kiharusi.
 
Siachi kabisa

Anasema simpi time

Wanawake dah πŸ˜πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ

Britanicca
View attachment 3701222
Dah! Pete kila kidole na 'designer' kucha!

Aaah! hawezi kujuwa uchungu wa nchi kuvurugwa na wananchi wake kuwa kama bidhaa tu ya watu wasiokuwa na akili kichwani kama waovu hawa tulionao sasa.

Ni muhimu atambuwe kwamba hili siyo swala la siasa, ni swala zito la uzalendo wa nchi na wananchi wake' Ni swala la ukombozi.
Kuachana na haya ni sawa na kuwa mfu.
 
Nilihisi tu mjadala utaelekea huku ulikoelekea.
Na nadhani hata mleta mada alijuwa mjadala utajielekeza upande huo zaidi ya maswala yake ya siasa.

Kuhusu maoni yako, hasa hayo ya "ugonjwa wa kiharusi",. Ni kama mzee mmoja aliyeondoka karibuni na kusababisha Eda kwa watu tunaowatambua kuwa waovu sana hapa duniani.
Kamwe siamini kuwa "hawa ndugu zetu" wote wana roho mbaya na kujaa uovu kama mfano wa huyu mmoja wao.
 
Kalamu heshima yako mkuu 🫑
 
Hutaki Mwarabu?
 
Habari za Mke wako zinatuhusu nini hapa Jukwaani. Yaani habari za mke wako na wewe chumbani ndio unatuletea sisi tujadili hapa . Kama huna vya kujadili si bora ukae kimya tu kuliko kuandika utafikiri unawashwa washwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…