Nileje kwa macho sasa wakati niko kwenye shamba la miwa.πSo mzee uwa unakula kwa macho tu au uwa unamaliza kabisa?
Ungenitafuta mkuu maana mie pia niko chuoni humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nafundisha mekumkuu unasoma au unafundisha ?
Katika mikoa ambayo haina pisi kali Tanzania ni MoshiKumbe pisi kali zatoka wapi?
Hahahah sawa sawa πKatika mikoa ambayo aina pisi kali Tanzania ni Moshi
MOSHI HAKUNA PISI KALI NA WALA HAKUJAWAI KUWA NA PISI KALI
Nafundisha meku
Unasoma au unatibu?pamoja sana mkuu.mi nipo Kcmc huku
Unasoma au unatibu?
Moshi hakujawahi kuwa na pisi kali labda hao ni wageni wa kutoka mikoa mingine wamekuja huko kwa ajili ya kusoma tu, ni wale wale wenye miguu kama fito au wengine?Nakazia
"moshi kuna pisi kali"
Pamoja sana mdogo wanguninasoma mkuu
Masimtank Wakinyaki wanasoma uzi wamekunja sura
Pamoja sana mdg wangu
Naamini utakipata unachokitafuta...Kila la kheri
Je watakuwa na mapenzi ya dhati, je watakuwa waaminifu?... Labda kama kaweka swala la kuoa pembeni na kaamua kujikita kutafuna wanaushirika hadi wazuri wote waishe.Uwepo wa pisi kali siyo ishu, ishu ni kwamba je watakukubali ? Kwa maana nyingine je, hao pisi kali na wao watakuona hivyo pia ? Hilo ndiyo muhimu, angalizo tu usjije poteza vyote, ila kuota ruhusa, ...
Nafundisha meku
Nyie jamaa mnalipiziana hadi maswali aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unasoma au unatibu?
Poa poa mkuuKumbe upo hapo, nina jamaa yangu anafundisha pia hapo, next time nikija nitakucheki mkuu!