Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Hapo kwenye Hit em up kaua kinouma haijawahi kutokea diss track km hiyo mpk leo..!!County down
View attachment 3579659
Hapo kwenye Hit em up kaua kinouma haijawahi kutokea diss track km hiyo mpk leo..!!County down
View attachment 3579659
Nawaambiaga vijana bora kufanya ukafeli kuliko kutokufanya kabisa. Umri wa chini ya 30yrs ni kufanya kazi zote kama punda. Manufaa utakuja kuyaona ukiwa 30+Leo hii vijana wa 25years kwa bongo hawana lolote majority.
Aiseeee 🤔 kwa age yangu ya 38's still sijamfikia 2pac hata robo
Pac life
We unaachaje kumuelewa, na kuna money hapo..Sisi watu wa hekaheka tunamuelewa Makaveli kwenye zile diss track km hii
Now, when I came out, I told you it was just about Biggie
Then everybody had to open they mouth with a motherfuckin' opinion
Well, this is how we gon' do this
* Mobb Deep, * Biggie
*** Bad Boy as a staff, record label, and as a motherfuckin' crew
And if you wanna be down with Bad Boy, then *** you too
Chino XL, *** you too
All you motherfuckers, *** you too 😹
Take money, take money
Money na mkinga viko sambamba haviachani 😹😹😹We unaachaje kumuelewa, na kuna money hapo..
Kulikuwa na haja gani kuweka hako kakolombwezo ka "take money" 😂🤣
Alifanya ubaya ubwela.. vitani unatumia silaha ile inayomuumiza zaidi, biggie ilimchoma sana na alipotaka kujibu diddy akamwambia aache hali itakuwa mbaya zaidi ya ile.Money na mkinga viko sambamba haviachani 😹😹😹
Makaveli mwenzio bandidu sana kamtombea Biggie demu wake afu anampa na diss track ya kumsindikizia maumivu..!!
😹😹😹 2pac jau sana, ona uchizi wake kwenye hii verse..!!Alifanya ubaya ubwela.. vitani unatumia silaha ile inayomuumiza zaidi, biggie ilimchoma sana na alipotaka kujibu diddy akamwambia aache hali itakuwa mbaya zaidi ya ile.
Jamaa alikuwa muhuni wa mipango sana..
Unakamata goma lake unalipiga pumbu kisha unakuja kuwachana
Diddy akaona hapa nikikaa vibaya nitapakwa wese😹😹😹 2pac jau sana, ona uchizi wake kwenye hii verse..!!
First off, fu*k your bitch and the clique you claim
Westside, when we ride, come equipped with game
You claim to be a player, but I fucked your wife
We bust on Bad Boys, niggas fucked for life
Plus, Puffy tryna see me, weak hearts I rip..!!
Diddy naye matopeni 😹😹
😹😹😹😹Diddy akaona hapa nikikaa vibaya nitapakwa wese