Leo nilipata time ya kuskilizia Ngoma za Tupac Shakur...one by one aise huyu jamaa alikua machine.

Leo hii vijana wa 25years kwa bongo hawana lolote majority.

Aiseeee πŸ€” kwa age yangu ya 38's still sijamfikia 2pac hata robo

Pac life
Nawaambiaga vijana bora kufanya ukafeli kuliko kutokufanya kabisa. Umri wa chini ya 30yrs ni kufanya kazi zote kama punda. Manufaa utakuja kuyaona ukiwa 30+
 
We unaachaje kumuelewa, na kuna money hapo..

Kulikuwa na haja gani kuweka hako kakolombwezo ka "take money" πŸ˜‚πŸ€£
 
We unaachaje kumuelewa, na kuna money hapo..

Kulikuwa na haja gani kuweka hako kakolombwezo ka "take money" πŸ˜‚πŸ€£
Money na mkinga viko sambamba haviachani 😹😹😹

Makaveli mwenzio bandidu sana kamtombea Biggie demu wake afu anampa na diss track ya kumsindikizia maumivu..!!
 
Money na mkinga viko sambamba haviachani 😹😹😹

Makaveli mwenzio bandidu sana kamtombea Biggie demu wake afu anampa na diss track ya kumsindikizia maumivu..!!
Alifanya ubaya ubwela.. vitani unatumia silaha ile inayomuumiza zaidi, biggie ilimchoma sana na alipotaka kujibu diddy akamwambia aache hali itakuwa mbaya zaidi ya ile.
Jamaa alikuwa muhuni wa mipango sana..
Unakamata goma lake unalipiga pumbu kisha unakuja kuwachana
 
😹😹😹 2pac jau sana, ona uchizi wake kwenye hii verse..!!

First off, fu*k your bitch and the clique you claim
Westside, when we ride, come equipped with game
You claim to be a player, but I fucked your wife
We bust on Bad Boys, niggas fucked for life
Plus, Puffy tryna see me, weak hearts I rip..!!

Diddy naye matopeni 😹😹
 
Diddy akaona hapa nikikaa vibaya nitapakwa wese
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…