Leo nimeaibika sana, roho inauma

[emoji830]︎Kula balance diet,usile viepe na vyakula vengne vya kukaanga kwa wingi
[emoji830]︎Kula mboga mboga na matunda kwa wingi
[emoji830]︎Fanya mazoezi mara kwa mara
[emoji830]︎Tumia tangawizi km mbadala wa chai ya rangi,tangawizi unywe ikiwa kali kiasi
[emoji830]︎Usitumie vinywaji vyenye gesi
[emoji830]︎Kapime km una u.t.i sugu au gonjwa lolote la zinaa
[emoji830]︎ Tafuta dawa ya ngiri kunywa
[emoji830]︎Usitumie busta za pharmacy kabla ya kugegeda
[emoji830]︎Tumia asali mbichi,ukiweza changanya na mdalasini wa unga×3 kutwa,au changanya na unga wa habat sauda na asali
[emoji830]︎Tumia muda mwingi ku-socialize,gonga stori na wana,jiweke bize,usiangalie porn wala usipige punyeto
[emoji830]︎Copy life style hiyo within ten-30 days leta mrejesho hapa jukwaani.
Angalizo: siku ya kugegeda usiwe na papara,shemeji akuandae vzuri,muandaane; ili usimwage mapema mchombeze kwa stori za kumsifu,na jokes za hapa na pale,hii itakusaidia kumgegeda kwa muda mrefu na hapo ndio utakua mwisho wako wa kuwa na hofu na jogoo kugoma kusimama.
 
Kwanza hakikisha unaacha kupiga punyeto ndo mambo mengine yafate.
 
Miaka 25 shida itakua mentally zaidi..
Fanya mazoezi ..Kula vizuri ..
Ukipata mdada mwambie aje kulala Hadi asubuhi ili usijipe presha ya kufanya kabla hajaondoka....

Anza kuamini huna tatizo litaondoka
Tiba ndio hii hapa,,,,
 
Wanaume ambavyo hawapendi kusikia mwenzao kudhalilika haswa masuala ya nguvu za kiume,hasa wakisikia ameshindwa kuichakata vyema mbususu wanaweza hata kukulipia gharama za matibabu😂🤣😂🤣

Yaani ushauri unaotolewa hapa laiti kama ingekuwa tuna juhudi hizi kupeana moyo na namna ya kuitafuta pesa hakika wanaume wengi tungekuwa wakwasi...

Yaani tunachukulia kama tatizo ni letu sote, yaani tuna umia na katika mada kama hizi hata wale wenye masikhara utaona wakitoa ushauri na masikitiko mnooo...😂🤣😂🤣

Hivi jamani mbususu ina nini?🤣😂🤣😂

Tuendeleeni na moyo huu huu hata katika kusaidiana deals za kusaka mkate wa kila siku.
 
Mkuu hakikisha unakula ugali wa dona kila siku mchana, Piga push ups maana ni zoezi la mwili mzima. Lala usingizi wa masaa nane, acha punyeto kama ni muumini, baada ya wiki moja utakuwa ukiamka asubuhi mguu wa tatu unakuwa umenyanyua shuka.

Siku hizi ninatrend ya kupiga push ups zaidi ya 20 kabla sijalala
 
Miaka 25 shida itakua mentally zaidi..
Fanya mazoezi ..Kula vizuri ..
Ukipata mdada mwambie aje kulala Hadi asubuhi ili usijipe presha ya kufanya kabla hajaondoka....

Anza kuamini huna tatizo litaondoka
Safi mwanasaikolojia
 
Siku hizi ninatrend ya kupiga push ups zaidi ya 20 kabla sijalala
Ongeza kidogo, piga atleast 150, halafu unakuwa unabadili position ya mikono. Unaanza na ya kuachanisha mikono, hii itasaidia kutanua kifua, then unaweka mikono inakuwa usawa wa mwili wako , then kuna ile ya kukutanisha mikono (diamond push ups) Aisee hapo baada ya wiki moja utaona hata nguo zinakaa poa mwilini haswa kama unavaa mashati au suti, au kama unavaa nguo za kuchomekea. Na watoto wazuri wataanza kukunotice kwa sababu zoezi zinaupangilia mwili unakuwa umekaa kiume zaidi.
 
Hongera Sana Mkuu, Itabidi na Mimi nitafute ili kuboost.
 
Ahha kwahyo wewe unaamini wayahudi kuliko quran?
Kama mimi navoamini quran kuliko hadith za sungura mjanja?
Kama unaiamini Quran endelea tu kuiamini NI jambo zuri.
Mimi Bado nawaamini wayahudi.
 
Kuku nakukumbusha tu leo kwa mgonga nyundo amtoki
 
mimi niwe na piss geto halafu mashine igome......

ila inategemea na piss yenyew ikoje...

but in all zinaa sio nzuri lbd kuna kitu mungu amekuepusha...

ushauli wangu punguza nyeto kama sio kuacha...
 
Miaka 25 shida itakua mentally zaidi..
Fanya mazoezi ..Kula vizuri ..
Ukipata mdada mwambie aje kulala Hadi asubuhi ili usijipe presha ya kufanya kabla hajaondoka....

Anza kuamini huna tatizo litaondoka
Boss
 
unapokuwa mwenyewe kuna wakati unasimama vizuri? inawezekana unakuwa hujiamini ndio inapelekea yote hayo.

kana wkt mwingine inasimama haaitaji dawa ya ku boost unaitaji kujipanga kisaikolojia na kama mdau alivyoshauri hapo mwanzo, andaa muda wa kutosha kukaa nae alafu next visit usije ukawa tena na wasiwasi kuwa itanitokea tena au vipi maana tatizo litarudi.
 
Tat
Yaan karibia kila asubuh lazima usimame,hata hapa nimeamka sasa hivi mashine imesimama...kuna sometimes asubuh inaweza simama hadi inauma
Izo lako ni la hisia zaidi, kisaikolojia ..kwakuwa wewe unajijuwa zaidi unaweza kutuambia unahisi labda hili tatizo limeoykana na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…