Leo nimeaibika sana, roho inauma

Leo nimeaibika sana, roho inauma

Perhaps this is the! Best answer that he can get here. Am curious to know was the girl ready for the game? Ama was thinking of it ndani ya suruali afu akapona mnara haunasi akaaamua awe mpole kujipushia fedheha?

Lkn je hana skills nyingine zaidi? Like hajui hata matumizi ya nyenzo mbadala ambayo yangempagawisha mdada adi amsaidie kutafuta netwk?

Lastly dogo mwanamke anachotafuta ni kukojozwa. So hata kidole ukikitumia vzr kinatosha kbs kukuepushia fedheha.

Tena you do it bila presha huku huna presha ya kutumia uume wako. Akiwa anakolea anataka upande unamwambia relax wala usiwe na presha. Akikojoa vzr unamwambia basi mama leo ilikuwa ni siku yako tuu. Ipo siku nitakuja kwaajili yangu na wewe tena.
Unamalizia na mabusu moto moto.

Hizi ni skills ndogo ndogo za kukufanya upuke fedheha ndogo ndogo

Utu uzima raha sana
 
Nyeto mm nimepiga since primary mpaka nakuja kula mbususu for first nilivyomaliza form six na niliifakamia vzr tu[emoji23]

Kupiga nyeto ni dalili uko active.

Huyu ukisoma nyuzi zake za nyuma utagundua kuna kitu hakiko sawa.
Msaidieni jamani! Nimemuonea huruma kwahilo tatizo bado mdogo sana at that age
 
Naomba nikusaidie kitu, mimi nimeanza kusex for fist time nikiwa na umri wa miaka 27, mwanzoni ilikuwa vizuri sana hata msichana mwenye nilisex naye alichechemea na alikuwa anaogopa kusex na mimi tena, ikaja tukaachana nikakaa miaka 2 bila mahusiano nikaja nikampata mdada mwingine aisee show ilikuwa mbovu sana yaani hata dakika moja haikuchukua wazungu hao na haikusimama tena ikawa aibu nikajihisi may be kuna tatizo limenipata, siku nyingine akaja show ikawa mbovu ingawa haikuwa mbovu sana, tukaendelea kadili alivyo kuwa anakuja ndivyo uwezo ukaongezeka mpaka kunasiku demu alilalamika kuwa nitamsogeza kizazi maana kila baada ya sex alikuwa analalamika maumivu chini ya kitovu ,

Katika haya kunasiku show ilikuwa mbovu na kuna siku nilikuwa napiga vizuri, nilicho kuja kugundua hofu na kukaa mda mrefu ndicho kilichokuwa kinanifanya nishindwe, mazingira pia, kama unaishi na wazazi mfano getto lako lipo pembeni kidogo unajikuta unahofia,

mpaka sasa napambana na hofu ili kubaki kuwa na uwezo wangu wa kawaida, nakushauri ondoa hofu ,woga na pia tumia chakula kinachofaa,
 
NILIWAHI KUWA MZEE WA DAKIKA MBILI, SITAMANI TENA KURUDI KATIKA HALI HII

Mwaka 2010, wakati huo nilikuwa form one , niliingia rasmi katika mchezo wa Kujichua (masturbation), kadri ya muda ulivyokwenda nilizidi kunogewa na huu mchezo kiasi kwamba ikafika nikawa siwezi kukaa hata siku tatu bila Kujichua.

Hali hii niliendelea nayo mpaka nikamaliza form six (advanced level), Baada ya kumaliza form six nikanunua smart phone ya kwanza ambapo niliongeza uchizi (addiction of masturbation) kwa kuwa si tu kujichua bali nilipenda sana kuangalia video za ngono (x-video) kupitia simu yangu.

Tabia hii niliendelea nayo mpaka nilivyofika chuoni , sikuwa nawaza kabisa suala la kuwa na mahusiano na Mwanamke yeyote bali pale ambapo nilikuwa nahisi hamu, nilikuwa nadownload video zangu za xx, naangalia kisha najichua.

Tatizo lilianza wakati nipo mwaka wa tatu, baada ya kuingia kwenye uhusiano na binti mmoja ,

Kiukweli nilimpenda na alinipenda lakini shida ilikuja pale ambapo alipotaka tukutane kimwili, nilikuwa naweka vikwazo vingi, UNAJUA KWA NINI??

Sababu kubwa nilikuwa nawaza , kwa muda wa miaka takribani 8 (Kuanzia form one hadi mwaka wa tatu chuo) nimekuwa nikipiga punyeto, je sitaaibika kweli???

Siku moja nikasema potelea pote, Kama mbwai na iwe mbwai, nikampanga mtoto, tukaenda lodge , tukaanza shughuli , aiseee kilichonikuta siwezi kusahau!!!!

Goli la kwanza nilitumia dakika moja na nusu tu, baada ya hapo mashine haikuweza tena kusimama usiku wote, kwa kweli niliaibika na nilijilaumu sana kwa uamuzi wangu wa kumkubalia yule binti kufanya naye mapenzi.

Sikuwa na jinsi ilibidi nimwambie mpenzi wangu kwamba mimi ni muathirika wa Kujichua ( masturbation addicted person), alishangazwa na hii habari kwake kwani muonekano wangu haukufanana na huu upumbavu niliokuwa naufanya, lakini nashukuru alinielewa na akanishauri nitafute suluhisho la tatizo langu (nguvu za kiume) na kweli nilijitahidi kadri ya uwezo wangu.

Kiufupi nimejaribu kutumia dawa nyingi kutoka kwa watu tofauti tofauti, nakiri zile dawa zilileta matokeo lakini shida ilikuwa moja, zilikuwa zinaleta matokeo ya muda tu (temporary effects) kiasi kwamba nisipotumia hizo dawa sikuweza kabisa kuperfom.

Nilipomaliza chuo (2019) nikarudi mtaani rasmi, Baada ya kurudi nyumbani nikakutana na mwalimu wangu wa O level ambapo tulipata fursa ya kuzungumzia masuala ya elimu na maisha kwa ujumla

Akanihabarisha kuwa yeye sasa maisha yake yamemnyookea sababu ameamua kujiongeza, amejiunga na kampuni iitwayo forever living products, ambapo alinielezea kiujumla kuhusu products zao na jinsi ya kujiunga,

Mazungumzo yalikuwa marefu lakini alinikosha zaidi aliponielezea juu ya package inayoweza kutibu moja kwa moja nguvu za kiume, nilifurahi sana na nilihisi kuwa nishapona kabisa
sababu niliamini kabisa hawezi kuniongopea kwani ni katika watu ninaowaheshimu sana.

Niliona isiwe case " mficha maradhi kifo humuumbua" nikamuelezea tatizo langu na akaniambia nitafute pesa Kisha nikachukue hizo supplements,

Kwa upande wa bei ilichangamka kidogo, lakini nikaona bora nijaribu, kwa kweli nashukuru baada ya kupata pesa nililipia zile supplements nusu nusu mpaka nikamaliza yote, kwa kweli nimekuwa new version of me, mpenzi wangu alikuwa akiinjoy na kushangaa mbona nimekuwa fire siku hizi tena bila kutumia booster, Kuanzia hapo niliinjoy sana maisha ya mahusiano na sasa nimeoa huku nikiwa na confidence ya kuwa kazi ninaiweza,,

Baada ya kupata ushuhuda binafsi, nikaamua kuingia kwenye kampuni moja kwa moja ili na mimi niwe sehemu ya msaada kwa watu Kama nilivyosaidiwa mimi.

Hivyo Kama ndugu yangu unapitia katika changamoto hizi karibu kwa ushauri zaidi juu ya jinsi ya kuondoa kabisa tatizo hili

0653646881

" USIOGOPE , TATIZO LA NGUVU ZA KIUME LINATIBIKA"

"WATU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"

N:B Nimefupisha stori ili kutomchosha msomaji
 
Naomba nikusaidie kitu, mimi nimeanza kusex for fist time nikiwa na umri wa miaka 27, mwanzoni ilikuwa vizuri sana hata msichana mwenye nilisex naye alichechemea na alikuwa anaogopa kusex na mimi tena, ikaja tukaachana nikakaa miaka 2 bila mahusiano nikaja nikampata mdada mwingine aisee show ilikuwa mbovu sana yaani hata dakika moja haikuchukua wazungu hao na haikusimama tena ikawa aibu nikajihisi may be kuna tatizo limenipata, siku nyingine akaja show ikawa mbovu ingawa haikuwa mbovu sana, tukaendelea kadili alivyo kuwa anakuja ndivyo uwezo ukaongezeka mpaka kunasiku demu alilalamika kuwa nitamsogeza kizazi maana kila baada ya sex alikuwa analalamika maumivu chini ya kitovu ,

Katika haya kunasiku show ilikuwa mbovu na kuna siku nilikuwa napiga vizuri, nilicho kuja kugundua hofu na kukaa mda mrefu ndicho kilichokuwa kinanifanya nishindwe, mazingira pia, kama unaishi na wazazi mfano getto lako lipo pembeni kidogo unajikuta unahofia,

mpaka sasa napambana na hofu ili kubaki kuwa na uwezo wangu wa kawaida, nakushauri ondoa hofu ,woga na pia tumia chakula kinachofaa,
I like that .. men supporting men... Jerlamarel hawa ndio wanaume sasa. Sio sisi wanawake mara mwanamke mwenzetu anapokua na tatizo akaomba ushauri ndokwanzaaa tunamchamba mpaka anakoma! Safi sana
 
Miaka 25 shida itakua mentally zaidi..
Fanya mazoezi ..Kula vizuri ..
Ukipata mdada mwambie aje kulala Hadi asubuhi ili usijipe presha ya kufanya kabla hajaondoka....

Anza kuamini huna tatizo litaondoka
Japo unampa njia uzinzi...!

Lakini ni Msaada mkubwa na mzuri ambao unawafaa vijana wengi na hata kupunguza matumizi ya madawa ya uongo (Nguvu za kiume).
 
Fanya sanaa mazoezi...
Anza kwa kukimbia km 4 endelea kuongeza kila wiki.

Wakati wa mwanzo unaweza ukawa unakimbia halafu unatembea haraka haraka.
Endelea hivyo huku ukiongeza muda wa kukimbia.

Usisahau kula sanaa matunda.
Usisahau kunywa maji mengi.
Usisahau kulala vizuri na masaa yasiopungua 6 - 8, ila siku uliyochoka zaidi upe mwili muda wa kupumzika zaidi.


#YNWA
Lakini akipona asioe si ndiyo?
Haaaaa
 
Miaka 25 shida itakua mentally zaidi..
Fanya mazoezi ..Kula vizuri ..
Ukipata mdada mwambie aje kulala Hadi asubuhi ili usijipe presha ya kufanya kabla hajaondoka....

Anza kuamini huna tatizo litaondoka
Yes pressure ya kusema lazima nimfanye tena vizuri kabla haha ondoka ndo inasababisha hilo
 
Sio tatizo lako peke yako,hilo ni tatizo la wanaume wengi siku hizi, ndo maana kila kona unakutana na matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume!!!

Fanya mazoezi,kula vizuri, jiamini

Kama hutojali nenda hospital kachek sukari, nayo husababisha tatizo hilo!!!!

Hivi hzo dawa wanazouza hao jamaaa zinawasaidia? [emoji28][emoji28]
 
Mtoto wa kiume unakulaje wali mchana
Kula ugali wa dona
Kunywa juice ya miwa
Kula karanga
Kunywa supu
Kunywa maji mengi
Mwisho kabisa piga tizi mkuu kula jalamba
Utakuja kunishukuru

Mkuu akifeli hapa aende akatumie dawa za asili, umempa mbinu za kivita
 
Back
Top Bottom