Leo nimeamini barabara ya coco beach ni mtego wa kifo (death trap)

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
597
Reaction score
1,240
Habari za jioni ndugu na dada zangu

Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach

Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho.

Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana mbio bila kujali watu wanaovuka.Imagine mimi nilikuwa navuka barabara ile huku nakinbia ila nusura nogongwe na gari.

Niko hapa home nasikia uchungu Kila nikikumbuka tukio hili Hivi punde.Sio kama Nina kosa ila tatizo lipo Katika barabara haina vizuizui vya kufanya magari yapunguze spidi.

Nimeona nishiriki nanyi japo sijui kama kutakuwa na mabadiliko.
 
Habari za jioni ndugu na dada zangu

Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach

Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho. Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana mbio bila kujali watu wanaovuka.Imagine mimi nilikuwa navuka barabara ile huku nakinbia ila nusura nogongwe na gari.

Hiyo barabara magari yanapita Masaa 24hrs hakuna kulala muda wote gari zinapita, kweli nimeamini mayajiri hawalali
 
Kwamba vyuma vya uzunguni viharibiwe suspension.
IMG_0678.jpeg
 
Habari za jioni ndugu na dada zangu

Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach

Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho. Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana mbio bila kujali watu wanaovuka.Imagine mimi nilikuwa navuka barabara ile huku nakinbia ila nusura nogongwe na gari.

Niko hapa home nasikia uchungu Kila nikikumbuka tukio hili Hivi punde.Sio kama Nina kosa ila tatizo lipo Katika barabara haina vizuizui vya kufanya magari yapunguze spidi.

Nimeona nishiriki nanyi japo sijui kama kutakuwa na mabadiliko.

Ukiwa unavuka barabarani angalia kulia na kushoto kabla ya kuvuka, na acha kuwaza kwingine kama mashabiki wa Simba
 
Waweke Zebra Cross au waweke Matuta ya aina gani muinuko au yale ya kudondosha springs na shock absorbers?
 
Yaani mwinuko Hivi ili magari yapunguze spidi.
Kwani wewe mkarandasi au ? Unataka kurekebisha?
 
Ukiwa unavuka barabarani angalia kulia na kushoto kabla ya kuvuka, na acha kuwaza kwingine kama mashabiki wa Simba
Hahaha shukrani ndugu.Nitakuwa mwangalifu.aisee
 
Habari za jioni ndugu na dada zangu

Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach

Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho. Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana mbio bila kujali watu wanaovuka.Imagine mimi nilikuwa navuka barabara ile huku nakinbia ila nusura nogongwe na gari.

Niko hapa home nasikia uchungu Kila nikikumbuka tukio hili Hivi punde.Sio kama Nina kosa ila tatizo lipo Katika barabara haina vizuizui vya kufanya magari yapunguze spidi.

Nimeona nishiriki nanyi japo sijui kama kutakuwa na mabadiliko.
Pole sana mkuu.
 
Kweli umenusurika, hadi ku-type unaboronga.
 
Back
Top Bottom