Leo nimeamini barabara ya coco beach ni mtego wa kifo (death trap)

Habari za jioni ndugu na dada zangu

Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach

Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho. Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana mbio bila kujali watu wanaovuka.Imagine mimi nilikuwa navuka barabara ile huku nakinbia ila nusura nogongwe na gari.

Niko hapa home nasikia uchungu Kila nikikumbuka tukio hili Hivi punde.Sio kama Nina kosa ila tatizo lipo Katika barabara haina vizuizui vya kufanya magari yapunguze spidi.

Nimeona nishiriki nanyi japo sijui kama kutakuwa na mabadiliko.
Tuta sio smart move… speed limits Iwepo na polisi wasiangalie uso
 
Mwenye makosa ni wewe...ulitaka wasimame uvuke?
Kuna ukweli kwa mbali ila kwanini dereva asingepunguza mwendo ? Yeye kapita kama flash...huyo kajisepea zake.

Yaani hata kama ajari ingetokea sidhani kama angejishugulisha nami
 
Janja punguza mawazo ukiwa barabarani utamwaga utumbo siku nyingine​
 
Hio barabara wameona wasiweke matuta kwasababu inaenda maeneo yenye raia wengi wa Kigeni na Hotel kubwa kama slip way kule na Balozi nyingi zipo kule hata Ofisi ya former president Kikwete ipo kule, ila hio barabara ina Link pia na ya Kenyata drive mpaka roundabou pale inakutana na Baraka obama drive inayoelekea state house
 
Kumbe basi sawa nitakuwa makini
 
Na hatuwezi kuweka matuta kila barabara.

😆🙏
 
Ulivuka kwenye zebra Cross au ulijivukia tu

Anyway pole

Ova
 
Back
Top Bottom