Hiyo barabara magari yanapita Masaa 24hrs hakuna kulala muda wote gari zinapita, kweli nimeamini mayajiri hawalaliHabari za jioni ndugu na dada zangu
Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach
Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho. Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana mbio bila kujali watu wanaovuka.Imagine mimi nilikuwa navuka barabara ile huku nakinbia ila nusura nogongwe na gari.
Niko hapa home nasikia uchungu Kila nikikumbuka tukio hili Hivi punde.Sio kama Nina kosa ila tatizo lipo Katika barabara haina vizuizui vya kufanya magari yapunguze spidi.
Nimeona nishiriki nanyi japo sijui kama kutakuwa na mabadiliko.
Habari za jioni ndugu na dada zangu

Waweke Zebra Cross au waweke Matuta ya aina gani muinuko au yale ya kudondosha springs na shock absorbers?Niko hapa home nasikia uchungu Kila nikikumbuka tukio hili Hivi punde.Sio kama Nina kosa ila tatizo lipo Katika barabara haina vizuizui vya kufanya magari yapunguze spidi.
Nimeona nishiriki nanyi japo sijui kama kutakuwa na mabadiliko.
Aisee! Mimi gari lililotaka kuniua lilikuwa jeupe.Kwamba vyuma vya uzunguni viharibiwe suspension.
View attachment 3385832
Pole sana mkuu.Habari za jioni ndugu na dada zangu
Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach
Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho. Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana mbio bila kujali watu wanaovuka.Imagine mimi nilikuwa navuka barabara ile huku nakinbia ila nusura nogongwe na gari.
Niko hapa home nasikia uchungu Kila nikikumbuka tukio hili Hivi punde.Sio kama Nina kosa ila tatizo lipo Katika barabara haina vizuizui vya kufanya magari yapunguze spidi.
Nimeona nishiriki nanyi japo sijui kama kutakuwa na mabadiliko.
Kweli umenusurika, hadi ku-type unaboronga.Habari za jioni ndugu na dada zangu