Leo nimeamini barabara ya coco beach ni mtego wa kifo (death trap)

Tuta sio smart move… speed limits Iwepo na polisi wasiangalie uso
 
Mwenye makosa ni wewe...ulitaka wasimame uvuke?
Kuna ukweli kwa mbali ila kwanini dereva asingepunguza mwendo ? Yeye kapita kama flash...huyo kajisepea zake.

Yaani hata kama ajari ingetokea sidhani kama angejishugulisha nami
 
Janja punguza mawazo ukiwa barabarani utamwaga utumbo siku nyingine​
 
Hio barabara wameona wasiweke matuta kwasababu inaenda maeneo yenye raia wengi wa Kigeni na Hotel kubwa kama slip way kule na Balozi nyingi zipo kule hata Ofisi ya former president Kikwete ipo kule, ila hio barabara ina Link pia na ya Kenyata drive mpaka roundabou pale inakutana na Baraka obama drive inayoelekea state house
 
Kumbe basi sawa nitakuwa makini
 
Na hatuwezi kuweka matuta kila barabara.

πŸ˜†πŸ™
 
Ulivuka kwenye zebra Cross au ulijivukia tu

Anyway pole

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…