Leo nimeamini barabara ya coco beach ni mtego wa kifo (death trap)

Dogo hongera tumejuwa Leo umepatembelea Coco beach.
 
Ukiwa unavuka barabarani angalia kulia na kushoto kabla ya kuvuka, na acha kuwaza kwingine kama mashabiki wa Simba
Huyo alirushwa madarasa hasa std 1 na 2, level hiyo hadi wimbo wa kuvukia barabara mnafundishwa, 😂!.
 
Shida ilianzia hapo kwenye kuvuka unakimbia. Hakikisha unatuliza akili kwanza kabla ya kuvuka barabara yenye magari mengi.
 
Kwaiyo hujui ili uvuke barabara unatakiwa kufanya jambo gan!??
 
the only thing dereva wa kibongo anaheshimu ni Tuta. barabara ispokuwa na tuta wala hajali as long yeye amekaa anakamua mafuta tu.pole sana
 
Tatizo la mashabiki wa Simba - makolo mmevurugwa sana. Tuliza kichwa ukiwa barabarani kijana utapasuka😅😅
 
Kama wewe ni kafiri kesho mapema nenda jumuiya
 
Kuna ukweli kwa mbali ila kwanini dereva asingepunguza mwendo ? Yeye kapita kama flash...huyo kajisepea zake.

Yaani hata kama ajari ingetokea sidhani kama angejishugulisha nami
Lakini mkuu ile si ni expressway?l
 
Kachinje mbuzi sasa ule na familia kutoa shukran
 
Siku nyingine usivuke barabara huku unakimbia utagongwa kweli pale wasiweke tuta Wala Nini sema waweke zebra
Haya mafuta ni fashion ya tz nchi zingine barabara ziko flat na madreva wanafata sheria
 
Angalia kulia, angalia kushoto rudi kulia tena kama hamna gari vuka upesi.

Usiweke imani kua mbona dereva ananiona atasimama tu, aloo watu wana stress anaweza kukusomba.

Gari huisha, usijifanye una haraka saaana, au kudhani gari zitakuchelewwsha uendako. Subiri hadi zipungue ndio uvuke.

Hakuna ushamba kwenye kulinda usalama wako unapovuka barabara, wengi huwa wanaokoswakoswa kwa kuamini wanavuka kibishi magari yawakwepe au yasimame .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…