Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Uchaguzi ndani ya chadema umeonyesha sura halisi ya Mbowe na wafuasi wake, nimeshanga sana kusikia Mbowe anasema" eti akiona CHAMA kinazamishwa anaingia mzigoni" wewe kama nani? Mwenye hati miliki ya CHAMA? Wewe kama mwanzilishi wa CHAMA?
Wewe kama nani mfadhili wa CHAMA? Daaa zamani nilikuwa siamini watu wakisema chadema ni CHAMA cha wachaga, chadema ni mali ya Mbowe, zaidi ya, miaka 20, ww BAdo ni mwenyekiti ?
Na hauna mpango wa kutoka. Hiyo ndio democrasia mnayohubili ndani ya CHAMA chenu? Huo ni unafiki betrayal in the city.
Kwa hali hiyo ccm wataendelea kukaa madarakani miaka 100. Umedis appoint sana watanzania wanaopenda haki, wanaopenda mawazo mbadala, wanaopenda mababadiliko."hakuna masika yasio na ncha" in every action there is equal reaction , kila MTANZANIA sasa anajua rangi yako, kuwa wewe ni "shadow "
Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji